Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
- Thread starter
- #281
Usifikie huko shem wangu yanazungumzika.Heri na kwako pia ex shemeji! 😭
Intelligent businessman nakuloga
Usifikie huko shem wangu yanazungumzika.Heri na kwako pia ex shemeji! 😭
Aisee Kweli haji manara ume amua😂😁
sawa kaka honger ila ndege wanaofanana huruka pa1 shida ye ana akil nying tu ndioman ujagundua kwann anaacha sim mkitoka oteHana tabia ya kupenda picha mkuu japo aliacha makusudi ili atumie yangu.
Nzuri shemeji.. Za huko?Shem wangu mzuri habari?
😅😅😅woiii, hii vita namwaachia mr haji manara Half american 😂😁
shemeji niko serious, I wanna know some info Kuhusu mchumba!
Hapo hata usemaje haelewi!!Halafu wanaiachia pale ulipoharibu mfano kwenye scrini message ya mchepuko unapoamka unanakutana nayo halafu mtu kanuna balaa
Za huku poa mvua zimetuzidia sijui huko shem.Nzuri shemeji.. Za huko?
Ulidhani nimekununia? Siwezi bana…
Hizo sio akili nyingisawa kaka honger ila ndege wanaofanana huruka pa1 shida ye ana akil nying tu ndioman ujagundua kwann anaacha sim mkitoka ote
We lofa tulia n mwiko kutoa maneno ya uchochezi kwa shem wanguAisee Kweli haji manara ume amua😂😁
Simnyimi ashike tu ila asinihoji chochoteWat if anajustify situation yake kwa kutaka uwe na makosa ili ukikuta kwake akufumbe mdomo, mm mke wangu hashiki cm yangu ila yake nashika na mm ndio napanga password nimeoa hatujaoana
mimi nikimfuma ndio kwaheriNi kosa mwanaume kufumwa kindezi hivyo inaonekana demu ndo kiongozi wa hayo mahusiano,
Mimi ni mwanamke na siwezi kufumwa kijinga jinga namna hiyo angebaki anahisi hisi tu
Kumbe hata humjuishemeji niko serious, I wanna know some info Kuhusu mchumba!
Nauliza asije nichoma kisu nikiwa nime lala 😂😂Kumbe hata humjui
Acha uoga we kidumeNauliza asije nichoma kisu nikiwa nime lala 😂😂
Sawa kaka haji manaraAcha uoga we kidume