Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
- Thread starter
- #241
Chawi hilinusu albino nusu albino nusu albino nauliza tu, kwani Kuna ubaya?.
haya shemeji binti kiziwi Nita oa wote wawili (wadogo zako)
Chawi hilinusu albino nusu albino nusu albino nauliza tu, kwani Kuna ubaya?.
haya shemeji binti kiziwi Nita oa wote wawili (wadogo zako)
Pole sana mkuuHappened to me juzi na tupo kwenye kupeana talaka
Poa mkuuNimeisahau jina la hiyo ngoma .. nikiikumbuka nakutag
nusu albino 😆 😂Chawi hili
💪uzuri ukijua udhaifu wake imeishaKesi ishakua ngumu hii sema nachomoka najua udhaifu wake.
Mapema sana mkuu💪uzuri ukijua udhaifu wake imeisha
💪💪💪 nakuja dm mkuu nina jamboMapema sana mkuu
Karibu mkuu💪💪💪 nakuja dm mkuu nina jambo
hakuna sehemu ya conversation mkuu tofaut na wengineKaribu mkuu
Nilifunga pm ngoja nkuchekhakuna sehemu ya conversation mkuu tofaut na wengine
Huo ni upumbavu, mkimbize haraka sana akatafute bwana mwingine.Happened to me juzi na tupo kwenye kupeana talaka
PamojaNilifunga pm ngoja nkuchek
Afadhali atulie, huyo anakuheshimu, hapo hukosi mistari labda umwambie ni wateja wako waliokuwa wanakufosi uwapande lakini ukawa unachat shingo upande ingawa huwatakiKatulia ila hayupo kama nilivyomzoea hajachangamka najua tu hapa anangoja aone pasaka athibitishe alichoona.
Hajaniuliza chochote mkuuAfadhali atulie, huyo anakuheshimu, hapo hukosi mistari labda umwambie ni wateja wako waliokuwa wanakufosi uwapande lakini ukawa unachat shingo upande ingawa huwataki
😂😂😂 Shem siongei hadi nipate mwanasheria!Shem Shem binti kiziwi huyo binti ndio katika wale wawili, au hili bandindu lime amua kubeba kwingine?
shemela usi ogope, we sema tu ili hili li Half american a.k.a haji manara litandikwe🤣😂😂😂😂 Shem siongei hadi nipate mwanasheria!
Umeridhika kenge wewe?😂shemela usi ogope, we sema tu ili hili li Half american a.k.a haji manara litandikwe🤣😂
Hongera sana mkuu ishi humo humoNimeacha kuchepuka natulia home nakula wine na wife huku tukiangalia movie na wife alooo nimegundua mke wangu wala sio kibuli wa sio kisilani
Shem usimsikilize huyo. Heri ya pasaka shem.😂😂😂 Shem siongei hadi nipate mwanasheria!