Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
huu mchezo hauhitaji hasira, badoo me haji manara 😂Umeridhika kenge wewe?😂
huu mchezo hauhitaji hasira, badoo me haji manara 😂Umeridhika kenge wewe?😂
shem Shem shem binti kiziwi ona hii ng'ombe Ina taka kukudanganya tena 🤔 😂😂Shem usimsikilize huyo. Heri ya pasaka shem.
mkuu tuliza wengeshem Shem shem binti kiziwi ona hii ng'ombe Ina taka kukudanganya tena 🤔 😂😂
mkuu tuliza wenge
Ko una jikataa 😂🤔Mkuu we n lofa
Sio mimiKo una jikataa 😂🤔
Dipresheni kwenye moja na mbili!Nimelitambua hilo mkuu ile hali iliyojitokeza punde tu baada ya kumpa simu imenifundisha kitu.
Ila kaka wanantafuta wenyewe, kuna muda sina hili wala lile inaingia sms "mume".
Kuna mshangazi niliupotezea ukaniambia kumbe sababu n huyo mtoto wa afu mbili, unajitumisha sms kama chizi muda wowote.
Dipresheniii 😂Dipresheni kwenye moja na mbili!
Basi unaishi vyema sana mkuu nitakuwa mwaminifu.Uaminifu ni mtaji katika mahusiano. Mimi nikirudi nyumbani jioni simu naibwaga tu hapo sebuleni atakayetaka kupiga kwa marafiki zake apige ( kama simu yake kaishiwa salio) anayetaka mtandao na mambo mengineyo atumie tu hata sina wasiwasi.
Heri na kwako pia ex shemeji! 😭Shem usimsikilize huyo. Heri ya pasaka shem.
Mi nina bifu nae na hajui! 😒shem Shem shem binti kiziwi ona hii ng'ombe Ina taka kukudanganya tena 🤔 😂😂
woiii, hii vita namwaachia mr haji manara Half american 😂😁Heri na kwako pia ex shemeji! 😭
huyo ni haji manara, a.k.a. Ngumbaru so kuwa kichwa maji ni kawaida!Mi nina bifu nae na hajui! 😒
Halafu wanaiachia pale ulipoharibu mfano kwenye scrini message ya mchepuko unapoamka unanakutana nayo halafu mtu kanuna balaaWanawake wengine huwa wanakagua simu saa 8 za usiku, huku wewe umelala hoi.
Omba asiijue password yako.
Ndoa itaingia mgogoro ambao hauishi
cheni bandia kwa fedha bandia hat ye aliacha sim nyumban alijua akija nayo itawagombanisha kwa kuita au kuingia msg za michepuko yake akaona aepesha shal dunia ya leo kun sim yakuchaj mda wa kula sa1 sa mbil watu weng uchaj usik anapolala kwa mwanamk anaeshnd nyumban sim aiwez kua aina chaj na mna apointmnt ya kutoka lazm akapg picha atambe status na out ya holdayJana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani.
Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa. Nilijikuta automatically natamani tule tumalize chap tuondoke ila hilo liliwezekana kwangu tu na nilimaliza kula haraka mpaka yeye mwenyewe akaniuliza kulikoni? Sikusikia hata ile ladha ya chakula hakika kutokuwa mwaminifu ni kubaya.
Anakuja kunipa simu nishakoma naenda kwenye recently opened app nakuta whatsapp,sms, google drive, call log, gallery & ms office. Ila hizi simu jana sikutegemea kabisa kama simu itashikwa muda ule, sikufanya usafi uzuri nilishamwambia akishika sitaki maswali. Sikuwa na vipengele ila kulikuwa na convo zenye ukakasi kidogo ambazo nilidhani nilishazifuta kumbe bado zimo.
Huu mtindo wa kushikiana simu ni hatari, wanawake huwa mnatafuta nini kwenye simu zetu?
Ukipendwa tulia na jiamini.
Hana tabia ya kupenda picha mkuu japo aliacha makusudi ili atumie yangu.cheni bandia kwa fedha bandia hat ye aliacha sim nyumban alijua akija nayo itawagombanisha kwa kuita au kuingia msg za michepuko yake akaona aepesha shal dunia ya leo kun sim yakuchaj mda wa kula sa1 sa mbil watu weng uchaj usik anapolala kwa mwanamk anaeshnd nyumban sim aiwez kua aina chaj na mna apointmnt ya kutoka lazm akapg picha atambe status na out ya holday
Shem wangu mzuri habari?Mi nina bifu nae na hajui! 😒