Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Mara nyingi hua natumia watsup kuchat na nafuta sms zote kuna kipindi nlikuwa natumia sms za kawaida na nkawa sifuti demu hata akiwa anakuja akili yangu nawaza watsup tu ndo pana ujinga mwingi.....kumbe yy anasoma(ga) kimya kimya sms za kawaida
Sijafanya usafi siku mbili tu madudu kibao, ila tuwe tu waaminifu wakuu. Mimi nabadilika kuanzia leo.
 
Ukitaka Uishi kwa Amani usiangalie simu ya mwenziyo Mfano wewe ni mwanamke usiangalie simu ya mpenzi wako wa kiume kwani unavyotongozwa na waume ndivyo na sisi tunayotongoza!,kama ni mwanaume usitazame ya mpenzi wako wa kike maana anatongozwa kama unavyotongozwa!! Sema hapa unategemea jinsi ilivyo makini ukiwa mlegevu wakukula!
Simu zina stress sana, kukaguana ni stressful life
 
shida mnawaendekeza sana wanawake.

Mie mwanamke yyt ninaetoka nae anajua simu yangu haishiki ila yake naikagua tena mbele yake.
Kila mtu ana miongozo yake ya kuishi, yangu ashike ila asiniuize chochote.
 
🪖🦺🔨⛏️🪖🦺

SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha

Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!

Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako?
Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu itakuhudumia kwa ubora wa hali ya juu. Tunahudunia wateja wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha na Kilimanjaro

🪖🦺 Shebwa Masonry Contractor 🪖🦺
Tunajivunia kufanya kazi za viwango vya hali ya juu, usahihi, na ufanisi ili kuhakikisha tunatoa huduma iliyo bora,imara, salama, na yenye kuvutia. Tunaelewa kuwa nyumba yako ni uwekezaji wa thamani, ndiyo maana tunatoa huduma bora ambazo utafurahia.

Kwa Nini Utuchague?
🪖. Wataalamu wenye ujuzi wa kutatua changamoto za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.
🪖. Ubora wa kazi na wenye kufwata vigezo vyote vya ujenzi.
🪖. Gharama nafuu na huduma zinazolingana na bajeti yako.
🪖. Huduma za haraka, salama, na zenye viwango

Maelezo Zaidi Ya Huduma Zetu:
🔨. Uashi (Masonry): Ujenzi na ukarabati kwa kutumia matofali, mawe, au saruji (cement) kwa ajili ya kuta, misingi, n.k.

⛏️. Uwekaji wa Paa (Roofing):

🔨. Uwekaji wa Tailizi (Tiles Installation)

⛏️. Upakaji wa Rangi: Kupaka rangi ndani na nje ya nyumba.

🔨. Ukarabati wa Kuta na Upigaji Plasta: Kurekebisha nyufa, mashimo, au kuta zilizoharibika na kupiga plasta.

⛏️. Uwekaji na Ukarabati wa Sakafu: Kuweka sakafu mpya na kurekebisha sehemu zilizoharibika.

🔨. Ufungaji na Ukarabati wa Mifereji ya Maji:

⛏️. Ukarabati wa Dari: Kurekebisha nyufa, uharibifu wa maji, au kudorora kwa dari.

🔨. Uwekaji na Ukarabati wa Uzio:

⛏️. Upangaji wa Nje na Uwekaji wa Pevin

🔨. Uwekaji wa Mageti na Grili za Chuma

⛏️. Tuulize kuhusu huduma unayohitaji ambayo haija orodheshwa.

Huduma hizi zinahusu kumiliki mjengo mpya, kutunza, kurekebisha, na kuboresha majengo ya makazi na biashara yaliyochakaa. Karibu mteja.🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Acha kujaribu nyuzi za watu mkuu fungua ya kwako Anza kuongelea mada ya ujenzi
 
Back
Top Bottom