Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Ma mtu wangu huyu nahisi nishamuumiza ila kutokana na katazo langu la kutokuuliza atachokutana nacho kwenye simu yangu ametulia tu. Ila nabadilika sitaki tena nyingine hii tabia naiua ife leo ijumaa kuu.
Du kukabske walaj leo unatoa pin poa ila mwanawane kuna vitu wanawake wanatulazimisha kwa nguvu hebu fikiria kuna miez 2 kuna demu tumezoeana aliniambia nimwazime ela vikoba anaumwa haendi kazn na atatolewa ili alipe jina lisikatwe akipokea anarudisha poa nikampa mpk mda huu haya ameanza jana Usk ninashida na ww nikampotezea asbh kaanza tena madai yale yale vkoba anataka Mia mpk tarh 25 nikamwambia sina akaja mpk 40 nikamwambia poa mtu kama huyu hakulipi usimto. Mbe kwa nn mana halipi au dada yangu
 
Jana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani.

Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehem sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa. Nilijikuta automatically natamani tule tumalize chap tuondoke ila hilo liliwezekana kwangu tu na nilimaliza kula haraka mpaka yeye mwenyewe akaniuliza kulikoni? Sikusikia hata ile ladha ya chakula hakika kutokuwa mwaminifu ni kubaya.

Anakuja kunipa simu nishakoma naenda kwenye recently opened app nakuta whatsapp,sms, google drive, call log, gallery & ms office. Ila hizi simu jana sikutegemea kabisa kama simu itashikwa muda ule, sikufanya usafi uzuri nilishamwambia akishika sitaki maswali. Sikuwa na vipengele ila kulikuwa na convo zenye ukakasi kidogo ambazo nilidhani nilishazifuta kumbe bado zimo.

Huu mtindo wa kushikiana simu ni hatari, wanawake huwa mnatafuta nini kwenye simu zetu?
Ukipendwa tulia na jiamini.
Kula haraka haraka na kubabua paa la mdomo kunahusiana vipi na kuazimwa simu?
Embu unganisha stori vizuri ipendeze.
 
Jana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani.

Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehem sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa. Nilijikuta automatically natamani tule tumalize chap tuondoke ila hilo liliwezekana kwangu tu na nilimaliza kula haraka mpaka yeye mwenyewe akaniuliza kulikoni? Sikusikia hata ile ladha ya chakula hakika kutokuwa mwaminifu ni kubaya.

Anakuja kunipa simu nishakoma naenda kwenye recently opened app nakuta whatsapp,sms, google drive, call log, gallery & ms office. Ila hizi simu jana sikutegemea kabisa kama simu itashikwa muda ule, sikufanya usafi uzuri nilishamwambia akishika sitaki maswali. Sikuwa na vipengele ila kulikuwa na convo zenye ukakasi kidogo ambazo nilidhani nilishazifuta kumbe bado zimo.

Huu mtindo wa kushikiana simu ni hatari, wanawake huwa mnatafuta nini kwenye simu zetu?
Ukipendwa tulia na jiamini.
Ninyi ndio mnasababisha mauaji kwenye Ndoa(Mahusiano).
 
Back
Top Bottom