Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
- Thread starter
- #181
Ndagupiga 😂Basi ba parokwo yameisha
Ila nimetulia kuanzia sasa ma parokwo
Ndagupiga 😂Basi ba parokwo yameisha
Sikuombei mfike huko ila kikinuka kuna mambo mengi yatapungua kwenye relationship.Kikinuka fresh tu, mimi huwa nakubaliana na matokeo, akiamua kwenda aende na akiamua kubaki basi afunge mdomo wake.
Embu tuwekee hizo convo zenye ukakasi kwanza tuzione na tuzijadili kama zina ukakasi kweliJana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani.
Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa. Nilijikuta automatically natamani tule tumalize chap tuondoke ila hilo liliwezekana kwangu tu na nilimaliza kula haraka mpaka yeye mwenyewe akaniuliza kulikoni? Sikusikia hata ile ladha ya chakula hakika kutokuwa mwaminifu ni kubaya.
Anakuja kunipa simu nishakoma naenda kwenye recently opened app nakuta whatsapp,sms, google drive, call log, gallery & ms office. Ila hizi simu jana sikutegemea kabisa kama simu itashikwa muda ule, sikufanya usafi uzuri nilishamwambia akishika sitaki maswali. Sikuwa na vipengele ila kulikuwa na convo zenye ukakasi kidogo ambazo nilidhani nilishazifuta kumbe bado zimo.
Huu mtindo wa kushikiana simu ni hatari, wanawake huwa mnatafuta nini kwenye simu zetu?
Ukipendwa tulia na jiamini.
Nishafutilia mbali ushahidiEmbu tuwekee hizo convo zenye ukakasi kwanza tuzione na tuzijadili kama zina ukakasi kweli
Hapana mkuu simu ndogo nnayo ila hii tabia naachaSikuombei mfike huko ila kikinuka kuna mambo mengi yatapungua kwenye relationship.
cha msingi nunua simu ndogo uendeleze ushetani wako.
Una akili nzuri sana.Hapo kosa ni lakwake. Kwanini yeye aache simu nyumbani, kwani simu ya mezani hiyo?
Tabia gani sasa,Hapana mkuu simu ndogo nnayo ila hii tabia naacha
Kilichokufanya ule kama unawahi handakini kukimbia balistic za Houth ni nini?Kaka la jana limenifunza kitu, mimi sio wa kula kama nakimbizwa bila utulivu.
Tuseme tu ukweli, hivi baada ya kumpa huo ushauri Half american , kisha ukakutana nae akakuomba K kabisa kabisa utamnyima.😎Hujaamua tu
Mimi sijui hata ila naonaga ana lock huwezi kuhamisha wala kuhama utaishia kujipiga picha tuHiyo safi anapin vip nifunfishe.
Huoni kwamba wewe ndo una matatizo? Wanawake wote hao wa kazi gani?yupo mwingine nae anataka sana nimpe simu ila nmemkazia kwahyo nlivyouliza n sahihi
Ndiyo namnyimaTuseme tu ukweli, hivi baada ya kumpa huo ushauri Half american , kisha ukakutana nae akakuomba K kabisa kabisa utamnyima.😎
Live mkuu,Kwa sisi wavuvi hizi ajali kazini zinatukuta sana.
Aisee nimerudi zero, huyu dogo nilikuwa nishaamua kutulia nae katika mazingira yoyote. Nimeamua kuchukua na likizo kabisa nikae tu home nione cha kufanya.Kuujenga uaminifu n kazi sana ila kuubomoa ni kugusa tu, tuwe waamunifu wakuu.
Aisee nimerudi zero, huyu dogo nilikuwa nishaamua kutulia nae katika mazingira yoyote. Nimeamua kuchukua na likizo kabisa nikae tu home nione cha kufanya.
Sijamaanisha nipo nae kwa sasa, huo ni mfano ila namna nilivyowasilisha unakanganya.Huoni kwamba wewe ndo una matatizo? Wanawake wote hao wa kazi gani?
Wana haki ya kutokukuamini.
Duh hyo nzuriMimi sijui hata ila naonaga ana lock huwezi kuhamisha wala kuhama utaishia kujipiga picha tu
No update treni linaendelea na safari.Any updates?