Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Embu tuwekee hizo convo zenye ukakasi kwanza tuzione na tuzijadili kama zina ukakasi kweli
 
Hapo kosa ni lakwake. Kwanini yeye aache simu nyumbani, kwani simu ya mezani hiyo?
Una akili nzuri sana.

Wamekazana tu kusema kuwa mwaminifu. Hawajui kuwa mwanaume haendi labour na period. Atakuwaje na mke mmoja.
 
Aisee nimerudi zero, huyu dogo nilikuwa nishaamua kutulia nae katika mazingira yoyote. Nimeamua kuchukua na likizo kabisa nikae tu home nione cha kufanya.

Huoni kwamba wewe ndo una matatizo? Wanawake wote hao wa kazi gani?
Wana haki ya kutokukuamini.
Sijamaanisha nipo nae kwa sasa, huo ni mfano ila namna nilivyowasilisha unakanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…