Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Kama kichwa cha mpenzi wako ni kibovu ni kibovu tu acheni kusingizia simu
 
Mara nyingi hua natumia watsup kuchat na nafuta sms zote kuna kipindi nlikuwa natumia sms za kawaida na nkawa sifuti demu hata akiwa anakuja akili yangu nawaza watsup tu ndo pana ujinga mwingi.....kumbe yy anasoma(ga) kimya kimya sms za kawaida
 
Ukitaka Uishi kwa Amani usiangalie simu ya mwenziyo Mfano wewe ni mwanamke usiangalie simu ya mpenzi wako wa kiume kwani unavyotongozwa na waume ndivyo na sisi tunayotongoza!,kama ni mwanaume usitazame ya mpenzi wako wa kike maana anatongozwa kama unavyotongozwa!! Sema hapa unategemea jinsi ilivyo makini ukiwa mlegevu wakukula!
 
Mbona nyie zetu mnashika mnakuwa mnatafuta nini?? Hapo mkuu acha tu uzinzi na uasherati ukipata UTI sugu hautabaki nayo mwenyewe ni lazima umpe mpenzi wako.
Mimi sishiki yake na sitaki kushika kabisa japo akiitaka yangu sana ananiambia yangu sijakunyima hiyo hapo. Sijui pasword aliijuaje huyu
 
shida mnawaendekeza sana wanawake.

Mie mwanamke yyt ninaetoka nae anajua simu yangu haishiki ila yake naikagua tena mbele yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…