Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

Kazi kweli kweli
 
Jambazi mtaalamu wa mapenzi michepuko ndani ya 18 za mwenye mali, dah!πŸ’
 
Wanawake wengine huwa wanakagua simu saa 8 za usiku, huku wewe umelala hoi.
Omba asiijue password yako.
Ndoa itaingia mgogoro ambao hauishi
Sijui hata alijuaje pasword yangu ila nilimkuta tu alishaifungua.
 
inawezekana ikawa hivyo ila mimi siwezi mpekua ila nilishamwambia usaliti sivumilii.
 
Hela atarudisha na mchezo atatoa, kuna alienikopa hela last week atarudisha baada ya pasaka ila nae kashaanza kujibebisha dah maskini hela yangu. Na kwa ninavyomuona yule uwezekano wa kuirudisha ni mdogo sana.
 
Mkuu, mimi simu imenivunjia mahusiano na mtoto mmoja wa kisukuma. Kiukweli nilishaamua kutulia nae kimbinu ila sasa mambo yameharibika pakubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…