Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
- Thread starter
-
- #161
Atakachokutana nacho abaki nachoKuna sisi simu zetu wanabaki nazo nyumbani tangu saa10 asbh hadi saa1 usiku anayo lakini ILANI amepewa kuwa weee angalia utakachokuta kubaliana nacho.Maswali maswali kuhusu simu yangu hayana nafasi.Password anazijua na sina hofu kabisa
Shida yao wakishajua huna chaguo lingine ni shidaMkuu relax mwanaume hatulii na chimbo moja
Kula tena wapi mkuukwamba mlitoka kula chakula cha usiku halafu mkaenda kula tena.
Hao virusi utadhani wanapewaga taarifa muda huu mke kashika simu.Mimi najaribu sana kufanya usafi ila huwa ikitokea wife aombe simu yangu mapigo ya moyo yanakwenda kasi kwani wakati anayo kinaweza kuingia kirusi kikaharibu hali ya hewa hivyo nikifika home namba za watu wangu nazipiga tofali kwa tahadhari.
Kwa sisi wavuvi hizi ajali kazini zinatukuta sana.Mkuu, mimi simu imenivunjia mahusiano na mtoto mmoja wa kisukuma. Kiukweli nilishaamua kutulia nae kimbinu ila sasa mambo yameharibika pakubwa sana.
Kuna jamaa yangu alikuwa anasema hatokaa achepuke/amsaliti mkewe, siku moja akakutana na pisi akaiongelesha fresh wakazoeana sasa akawa ataki kumaliza kazi. Jamaa yetu mwingine akamwambia usipomla huyu demu leo basi kuanzia kesho namuwinda. Kusikia vile akaona bora amsaliti mkewe.Siyo rahisi kihivyo, unafikiri kuna mtu anapenda kuchepuka, kuna kapepo fulani hako kakiamka hakazuiliki.
Kama kataa ndoa sawaMambo ya kua muaminifu na kutokua huru na simu yangu ndio siyawezi. Pisi kama inaona haiwezi kwenda na lifestyle yangu naipa go-ahead ipite kushoto. By the way KATAA NDOA!!!
Hapo sasa ndiyo unatamani hata ungeoa kilaza asiyeweza kufikiri haraka haraka,mitihani haiishi.Angalia kama alipiga screenshot na kutuma kwenye E_mail au whatsapp
Ni yeye tu. Wengine hatuna muda huoNimeuliza kwa sababu sio yeye tu anaekimbiliaga simu kupekenyua
ni kweli mkuuShida yao wakishajua huna chaguo lingine ni shida
Shetani anajua kupiga kazi kinoma, halafu ukishamaliza unaanza kujuta,ila ki ukweli haya mambo hayaepukiki.Kuna jamaa yangu alikuwa anasema hatokaa achepuke/amsaliti mkewe, siku moja akakutana na pisi akaiongelesha fresh wakazoeana sasa akawa ataki kumaliza kazi. Jamaa yetu mwingine akamwambia usipomla huyu demu leo basi kuanzia kesho namuwinda. Kusikia vile akaona bora amsaliti mkewe.
yupo mwingine nae anataka sana nimpe simu ila nmemkazia kwahyo nlivyouliza n sahihiNi yeye tu. Wengine hatuna muda huo
Nina wasiwasi na Hapo, kuna wanawake wako mbele ya muda.Nimecheki ila sijaona na ni mtaalam wa mambo ya IT 😑
Jamaa alikufa akaoza sijui alipewa nini na ile pisi.Shetani anajua kupiga kazi kinoma, halafu ukishamaliza unaanza kujuta,ila ki ukweli haya mambo hayaepukiki.
Kikinuka fresh tu, mimi huwa nakubaliana na matokeo, akiamua kwenda aende na akiamua kubaki basi afunge mdomo wake.Nina wasiwasi na Hapo, kuna wanawake wako mbele ya muda.
Kapiga Screenshot kajitumia kwenye E_mail halafu kafuta ushahidi kote kote..
Siku kikinuka utaona unatumiwa kitu whatsapp unaanza.kujinyea nyea
Hapana, wewe hadi ukamatwe upigwe.Niombee tu ma parokwo
Kwa hii kauli ina maana huna mapenzi nae upo nae basi tuKikinuka fresh tu, mimi huwa nakubaliana na matokeo, akiamua kwenda aende na akiamua kubaki basi afunge mdomo wake.
mapenzi nae nnayo ila kama kashaamua yake nimzuie?Kwa hii kauli ina maana huna mapenzi nae upo nae basi tu
Sipigwi ng'oo 😂Hapana, wewe hadi ukamatwe upigwe.
Basi ba parokwo yameishamapenzi nae nnayo ila kama kashaamua yake nimzuie?