Nyie si mnazichota tu HAZINA...CHADEMA haina HAZINA.NAO WAKISHIKA NCHI WATAJENGA TUU.Tangu mwaka 1992 ofisi ya chama ndio ile ya ufipa, sidhani kama CDM imeshafikia hadhi ya kuwa chama mbadala.
Bado ni chama chenye kumezwa na haiba za mtu mmoja mmoja kuliko kuwa ni taasisi yenye nguvu kuliko mtu.
Jengeni ofisi yenye hadhi za chama acheni blah blah za kuhalalisha “kupigwa”.Umejawa na ushabiki na huijui historia ya nchi vizuri. Wakati nchi inapata uhuru, TANU ilikuwa na ofisi..!?
Afu nani alikwambia ofisi ni ishara ya ukombozi au uongozi..!?
CCM yenye ofisi nzuri Hapa Dodoma, hiyo ofisi yao imesaidia nini kutatua tatzo la ajira kwa hii miaka mitano..!?
Hiyo ofisi na ofisi zote za CCM zimesaidia vipi kubadili mfumo wetu wa elimu uliopitwa na wakati..!?
Ofisi zenye malu malu na mataa ya kisasa za CCM zimesaidia vipi kuongeza mishahara na kupandisha watumishi madaraja..!?
Kwa taarifa yako, ofisi za CCM zimekuwa ni majengo ya kupangia mikakati ya kudhulumu na kupora rasilimali za nchi hii.
#elimika.
Watu tumepikwa tukapikika bwana! Asante sana Mbowe kwa Malezi bora ya vijana hawa.Aisee haya mambo eti ya nunua nunua kwanza yanaikuza bure Chadema, unajikuta umenunua garasa halafu linakuwa replaced na CHUMA!
Emb anzia Momba, Sumbawanga mjini, Mbeya mjini, Iringa mjini, Njombe mjini, Bikoba mjini, Mara yoteee, Nyamagana, Shinyanga, Arusha mjini, Karatu,Hai, Rombo, Handeni, Mlimba, Mikumi yani hadi unashindwa umtaje nani na nani umuache. Ni full makamanda
Ifikie tu hatua CCM ikubali kuwa sasa ina mshindani halali wa Jamhuri ya muungano na ijifunze namna ya kuishi naye. Tukubali tu kuwa zama za CCM ndiyo kila kitu zimepitwa na wakati! Chama tangia 2005 kinakuhenyesha na kila siku kinaongeza dozi mara dufu bado hukubali tu?
Yani haitokaa itokee tena kudhoofika Chadema! Huo ni ukweli na utabaki hivyo.
Hao uliowataja huwezi kuwalinganisha na yoyote yule anayemzunguka Lissu.Ona ulivo mjinga, mbona sheria zipo wazi kabisa, kama chadema kingekuwa cha kisultan unadhani msajili angekuwa amekiacha mpaka leo bila kukifuta..!?
Kuana kikundi dhaifu nchi hii kama CCM!? Katibu mkuu wenu kathibitisha mara nyingi jinsi mnavotegemea dola kubaki madarakani, utasema hicho ni chama kweli..!? Chama kinachotegemea dola..!?
Chama lazima kiwe na ushawishi kwa wananchi, CCM kama kikundi cha wahuni kimepoteza uwezo wa ushawishi.
Afu ulivokosa ufaham unashindwa tambua CCM imekufa, kwa aina ya viongozi wake ni wazi lazima watumie njama chafu, fikiria watu kama polepole, kibajaj, nape, Makonda, Kigwangala, Ndugai, Bashiru nk. Hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kujenga hoja na ushawishi wote ni empty kwenye ushawishi na mikakt ya hoja.
Ndiyo wamepata kuwepo, Nyerere, Mkapa, Sitta, Kikwete na baadhi, ila kwasasa CCM imebak na watu waliokosa weredi
Wale wanaokimbia hoja kwa kufunga tape midomoni sio watu wa hovyo?.Yaani umenifanya nitafakari bunge letu liivyo jengwa vizuri na watu wa hovyo kama Msukuma na kibajaji wanavyo lichafua
Ushindi mwaka huu ni lazima sio ombiKila mmoja wetu awe sehemu ya kulinda ushindi . Kura zetu zote kwa Lissu na Wabunge wa CHADEMA na madiwani wa CHADEMA.
Ofsi ya nini kwani tunalala humo?Hao uliowataja huwezi kuwalinganisha na yoyote yule anayemzunguka Lissu.
Acha porojo, mwambieni kaka wa Hai ofisi kubwa ni muhimu kujengwa.
You are wrong mkuu, kma hili lingekua kweli CHADEMA inge collapse siku Zitto, Dr Slaa ama Wabunge walipoondoka.Tangu mwaka 1992 ofisi ya chama ndio ile ya ufipa, sidhani kama CDM imeshafikia hadhi ya kuwa chama mbadala.
Bado ni chama chenye kumezwa na haiba za mtu mmoja mmoja kuliko kuwa ni taasisi yenye nguvu kuliko mtu.
Nyinyi mnaibiwa na viongozi waliogeuka masultani, ambao akijitokeza wa kuhoji anaweza hata kupoteza uhai wake.Nyie si mnazichota tu HAZINA...CHADEMA haina HAZINA.NAO WAKISHIKA NCHI WATAJENGA TUU.
Mawazo ya kitoto kama haya eti ni ya watu wanaotaka wapewe nchi waiongoze.Ofsi ya nini kwani tunalala humo?
Bado ni individual powers na influence za mtu mmoja mmoja.You are wrong mkuu, kma hili lingekua kweli CHADEMA inge collapse siku Zitto, Dr Slaa ama Wabunge walipoondoka.
Kma bado taasisi imesimama licha ya oppression ya miaka 5 unadhani hawana taasisi imara? Kma ni individual power nini kimewafanya wawe sustainable mpaka leo
Una gari nzuri mke na watoto wako wanalala njaa!Tangu mwaka 1992 ofisi ya chama ndio ile ya ufipa, sidhani kama CDM imeshafikia hadhi ya kuwa chama mbadala.
Bado ni chama chenye kumezwa na haiba za mtu mmoja mmoja kuliko kuwa ni taasisi yenye nguvu kuliko mtu.
Mkuu Kanda za CHADEMA ndio zimekipa uhai chama na hyo ni juhudi ya Mwenyekiti kufanya ugatuzi wa madaraka kutoka ufipa hadi kwa wanachama wa chini.Bado ni individual powers na influence za mtu mmoja mmoja.
Wanahitaji sana kuupanua mtandao wao kila kona ya nchi ili ile dhana ya uongozi wa juu kugawa nafasi kwa upendeleo iweze kufa.
Ofia haiongezi wanachama. Tumeongezela kutoka wanachama milioni 4 wa 2015 hadi wanachama milion nane 2020. Emdelea kung'ang'ania majengo.Mawazo ya kitoto kama haya eti ni ya watu wanaotaka wapewe nchi waiongoze.
Mpe elimu mpe elimu.Mkuu Kanda za CHADEMA ndio zimekipa uhai chama na hyo ni juhudi ya Mwenyekiti kufanya ugatuzi wa madaraka kutoka ufipa hadi kwa wanachama wa chini.
Sasa kma huwezi ona hilo sijui nikusaidieje kukuelewesha kuwa CHADEMA imekua taasisi imara kuliko kutegemea individual power ''Now, more than ever before''.
Tangu mwaka 19961 bado ni watu wa kulia uhaba wa madawati, upungufu wa madarasa, makazi duni huduma duni za afya, kilimo duni na ukosefu wa maji safi. Sidhani kama ccm kinafaa kuendelea kushikilia dolaTangu mwaka 1992 ofisi ya chama ndio ile ya ufipa, sidhani kama CDM imeshafikia hadhi ya kuwa chama mbadala.
Bado ni chama chenye kumezwa na haiba za mtu mmoja mmoja kuliko kuwa ni taasisi yenye nguvu kuliko mtu.
Hizo changamoto unazosema wewe huwa zikitaka kufanyiwa utatuzi wabunge wenye ofisi yao pale ufipa wanatoka nje wakiwa wameziba midomo yao wakiendeleza siasa.Tangu mwaka 19961 bado ni watu wa kulia uhaba wa madawati, upungufu wa madarasa, makazi duni huduma duni za afya, kilimo duni na ukosefu wa maji safi. Sidhani kama ccm kinafaa kuendelea kushikilia dola
Haki hakunaKumbuka asilimia 80 ya vijiji ina umeme kwa sasa, nenda nchi nyingine za Afrika ukaulize ni asilimia ngapi ya wananchi wanao umeme.