Uchaguzi 2020 Ila jamani sehemu alizopita Tundu Lissu ama kwa hakika CHADEMA ina makamanda, CCM sasa ijifunze kuishi na chama mbadala!

Uchaguzi 2020 Ila jamani sehemu alizopita Tundu Lissu ama kwa hakika CHADEMA ina makamanda, CCM sasa ijifunze kuishi na chama mbadala!

Tangu mwaka 1992 ofisi ya chama ndio ile ya ufipa, sidhani kama CDM imeshafikia hadhi ya kuwa chama mbadala.

Bado ni chama chenye kumezwa na haiba za mtu mmoja mmoja kuliko kuwa ni taasisi yenye nguvu kuliko mtu.
Nyie si mnazichota tu HAZINA...CHADEMA haina HAZINA.NAO WAKISHIKA NCHI WATAJENGA TUU.
 
Umejawa na ushabiki na huijui historia ya nchi vizuri. Wakati nchi inapata uhuru, TANU ilikuwa na ofisi..!?

Afu nani alikwambia ofisi ni ishara ya ukombozi au uongozi..!?

CCM yenye ofisi nzuri Hapa Dodoma, hiyo ofisi yao imesaidia nini kutatua tatzo la ajira kwa hii miaka mitano..!?

Hiyo ofisi na ofisi zote za CCM zimesaidia vipi kubadili mfumo wetu wa elimu uliopitwa na wakati..!?

Ofisi zenye malu malu na mataa ya kisasa za CCM zimesaidia vipi kuongeza mishahara na kupandisha watumishi madaraja..!?

Kwa taarifa yako, ofisi za CCM zimekuwa ni majengo ya kupangia mikakati ya kudhulumu na kupora rasilimali za nchi hii.

#elimika.
Jengeni ofisi yenye hadhi za chama acheni blah blah za kuhalalisha “kupigwa”.
 
Aisee haya mambo eti ya nunua nunua kwanza yanaikuza bure Chadema, unajikuta umenunua garasa halafu linakuwa replaced na CHUMA!

Emb anzia Momba, Sumbawanga mjini, Mbeya mjini, Iringa mjini, Njombe mjini, Bikoba mjini, Mara yoteee, Nyamagana, Shinyanga, Arusha mjini, Karatu,Hai, Rombo, Handeni, Mlimba, Mikumi yani hadi unashindwa umtaje nani na nani umuache. Ni full makamanda

Ifikie tu hatua CCM ikubali kuwa sasa ina mshindani halali wa Jamhuri ya muungano na ijifunze namna ya kuishi naye. Tukubali tu kuwa zama za CCM ndiyo kila kitu zimepitwa na wakati! Chama tangia 2005 kinakuhenyesha na kila siku kinaongeza dozi mara dufu bado hukubali tu?

Yani haitokaa itokee tena kudhoofika Chadema! Huo ni ukweli na utabaki hivyo.
Watu tumepikwa tukapikika bwana! Asante sana Mbowe kwa Malezi bora ya vijana hawa.
 
Ona ulivo mjinga, mbona sheria zipo wazi kabisa, kama chadema kingekuwa cha kisultan unadhani msajili angekuwa amekiacha mpaka leo bila kukifuta..!?

Kuana kikundi dhaifu nchi hii kama CCM!? Katibu mkuu wenu kathibitisha mara nyingi jinsi mnavotegemea dola kubaki madarakani, utasema hicho ni chama kweli..!? Chama kinachotegemea dola..!?

Chama lazima kiwe na ushawishi kwa wananchi, CCM kama kikundi cha wahuni kimepoteza uwezo wa ushawishi.

Afu ulivokosa ufaham unashindwa tambua CCM imekufa, kwa aina ya viongozi wake ni wazi lazima watumie njama chafu, fikiria watu kama polepole, kibajaj, nape, Makonda, Kigwangala, Ndugai, Bashiru nk. Hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kujenga hoja na ushawishi wote ni empty kwenye ushawishi na mikakt ya hoja.

Ndiyo wamepata kuwepo, Nyerere, Mkapa, Sitta, Kikwete na baadhi, ila kwasasa CCM imebak na watu waliokosa weredi
Hao uliowataja huwezi kuwalinganisha na yoyote yule anayemzunguka Lissu.

Acha porojo, mwambieni kaka wa Hai ofisi kubwa ni muhimu kujengwa.
 
Tangu mwaka 1992 ofisi ya chama ndio ile ya ufipa, sidhani kama CDM imeshafikia hadhi ya kuwa chama mbadala.

Bado ni chama chenye kumezwa na haiba za mtu mmoja mmoja kuliko kuwa ni taasisi yenye nguvu kuliko mtu.
You are wrong mkuu, kma hili lingekua kweli CHADEMA inge collapse siku Zitto, Dr Slaa ama Wabunge walipoondoka.

Kma bado taasisi imesimama licha ya oppression ya miaka 5 unadhani hawana taasisi imara? Kma ni individual power nini kimewafanya wawe sustainable mpaka leo
 
Bado ni individual powers na influence za mtu mmoja mmoja.

Wanahitaji sana kuupanua mtandao wao kila kona ya nchi ili ile dhana ya uongozi wa juu kugawa nafasi kwa upendeleo iweze kufa.
 
Tangu mwaka 1992 ofisi ya chama ndio ile ya ufipa, sidhani kama CDM imeshafikia hadhi ya kuwa chama mbadala.

Bado ni chama chenye kumezwa na haiba za mtu mmoja mmoja kuliko kuwa ni taasisi yenye nguvu kuliko mtu.
Una gari nzuri mke na watoto wako wanalala njaa!

Maendeleo ni watu sio vitu.
 
Bado ni individual powers na influence za mtu mmoja mmoja.

Wanahitaji sana kuupanua mtandao wao kila kona ya nchi ili ile dhana ya uongozi wa juu kugawa nafasi kwa upendeleo iweze kufa.
Mkuu Kanda za CHADEMA ndio zimekipa uhai chama na hyo ni juhudi ya Mwenyekiti kufanya ugatuzi wa madaraka kutoka ufipa hadi kwa wanachama wa chini.

Sasa kma huwezi ona hilo sijui nikusaidieje kukuelewesha kuwa CHADEMA imekua taasisi imara kuliko kutegemea individual power ''Now, more than ever before''.
 
Mpe elimu mpe elimu.
 
Tangu mwaka 1992 ofisi ya chama ndio ile ya ufipa, sidhani kama CDM imeshafikia hadhi ya kuwa chama mbadala.

Bado ni chama chenye kumezwa na haiba za mtu mmoja mmoja kuliko kuwa ni taasisi yenye nguvu kuliko mtu.
Tangu mwaka 19961 bado ni watu wa kulia uhaba wa madawati, upungufu wa madarasa, makazi duni huduma duni za afya, kilimo duni na ukosefu wa maji safi. Sidhani kama ccm kinafaa kuendelea kushikilia dola
 
Yani hadi mkurugenzi wa tume ya taifa ameombwa kuipigia kampeni ccm!! 🤣🤣🤣🤣
 
Tangu mwaka 19961 bado ni watu wa kulia uhaba wa madawati, upungufu wa madarasa, makazi duni huduma duni za afya, kilimo duni na ukosefu wa maji safi. Sidhani kama ccm kinafaa kuendelea kushikilia dola
Hizo changamoto unazosema wewe huwa zikitaka kufanyiwa utatuzi wabunge wenye ofisi yao pale ufipa wanatoka nje wakiwa wameziba midomo yao wakiendeleza siasa.

Utatuzi wa yote uliyoyataja unategemea ushirikiano wa wabunge wote.

Kumbuka asilimia 80 ya vijiji ina umeme kwa sasa, nenda nchi nyingine za Afrika ukaulize ni asilimia ngapi ya wananchi wanao umeme.
 
Back
Top Bottom