Ila JF bwana!

Ila JF bwana!

Yote haya wa kulaumiwa ni CCM Ndugu yangu, wala usitulaumu. Mimi nalima ekari 100 za parachichi, navuna lita kumi na Tano za mkojo wa sungura daily, Ninamiliki mijengo kadhaa, natumia iPhone 18promax
IMG-20250218-WA0035.jpg
 
kuna mmoja aliomba ushauri kuhusu biashara ambayo,mimi nina experince nayo na ndio biashara yangu inayoendesha ziku zangu za uhai basi nikawa nasoma comment anavyopewa abc ndio nikajuwa kuwa humu kuna chai nyingi mnoo😁
 
Hahaha kila mtu humu ni motivational speaker mkuu😂😂😂
 
Mimi monetary doctor niwe mkweli, sina kazi naombeni kazi, nijifunze na kuongeza ujuzi ni muhimu sana.

sina kipato chochote nikipata kazi nitapata kipato

Nitaweza kutimiza bills za kila siku km msosi, nauli, umeme Kodi,

wakuu, matajiri, wakurugenzi, wamiliki, mameneja, mkiona mesej hii semeni kitu juu yangu!

Natanguliza shukrani za dhati
 
NAKUTAKIA MEMA MKUUU💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
 
Back
Top Bottom