Hujamwelewa
aise ana hoja. Si rahisi wakati una upwiru, kuvamia mwanamke yeyote. Hawa madadapoa wana umuhimu sana kwa sie akina baba. Nitatoa mfano halisi, kwa mwaka mzima nahangaika na
Lamomy lakini hadi kesho ananitolea nje . Je, kwenye hali kama hiyo, mkombozi ni changudoa, unalipa 2,000 yako upwiru, utausikia katika bomba.
Scenario ya pili, je, Unajua kuwa na kimwana kama
Lamomy kama mchepuko wako ni gharama? Kwa sie tunaobangaiza, jioni ukusanye 10,000 Kariakoo kwa kazi yetu ya uwinga kumiliki pisi Kali ni Mtihani! Tusidanganyane, Machangu wa 500 ndiyo mwokozi wetu.
Kwanza, Unajua Wateja wakubwa wa machangu, ni wanaume waliooa na wanathamini ndoa zao zisivunjike?
Ndani pakiwa pachungu, mara sijisikii, mara naumwa, mara nimechoka; mkombozi ni changu, unakula kimoja ukiwa njiani chapchap, hupotezi muda na mwenzako hakushuku, mwili mwepesi na hautakuwa na vihasira vya kitoto.
Mchepuko pamoja na gharama zake, lazima uupe nao time kiasi atasituka bi mkubwa.
Ubarikiwe