Ila kiuhalisia unampaje mtu zaidi ya 5000 kwa ajili ya short time.?

Ila kiuhalisia unampaje mtu zaidi ya 5000 kwa ajili ya short time.?

zuieni na pombe nyie watu wa maadili, eti 'vijana nguvu kazi ya kesho' hii nchi inajali vijana kwa unavyoona wewe?
Nimekwambia wewe mwanaume unafiaje hatua ya kwenda kununua kahaba kwenye vigeto.
Tafuta pisi ita guest tomb. A maliza mpe ka 20k atembee
Hapa unatakula demu mwenye address, utapata na mapenzi romantic sio kahaba anakwambia kojoa niende
 
Sasa mkuu hapo ukienda Guest, unampa na mwanamke 20k unakuwa haujanunua malaya?
Au ukichukua mwanamke mtaani ukampeleka Guest unakuwa haujanunua
 
Sasa mkuu hapo ukienda Guest, unampa na mwanamke 20k unakuwa haujanunua malaya?
Au ukichukua mwanamke mtaani ukampeleka Guest unakuwa haujanunua
Nyie madogo nitawafundisha uanaume hadi lini?
Uanaume ni pamoja na kuwajibika bila shurti
Kumpa demu aliyekutunuka kitumbua sio kununua
Ni kupandisha hadhi yako, lakini iyo ni hiari waweza kumpa labda awamu hii na awamu nyingine usimpe.
Ni tofauti na aliyeenda Kwa kahaba kujidhalilisha kuanza bargaining kama unajua mtumba wa shati
 
Sio maadili yetu kufanya ngono biashara.
Lazima serikali ilinde tamaduni zetu.
Haiwezekani kuanzisha majumba ya watu kujiuza, tuna watoto, Kuna magonjwa, vijana ndo nguvu kazi wakiuziwa huo ukimwi wakafa Taifa litajengwa na nani?
wawe wanaigawa bure bila vizi ga vya vocha na matumizi mengine... wengine wanajifanya expensive ufe na uprwiru wasukuma sasa hivi kkuoa ni kuanzia m6... una habari hio...
 
Kununua malaya ni unyonge na upumbavu
Unashindwa nini kutongoza na kushawishi wanawake wote wazuri mtaani hadi uende kudhalilisha utu wako Kwa kahaba.
Serikali watakukamata na kukushitaki kufanya hivyo ni kuvunja sheria za nchi.
Yaani serikali iache vijana waangamie Kwa ngono zembe, madawa ya kulevya, ati kwakuwa wanajidhuru wenyewe?
picha limeanza nimetoka moshi kwenye pilika za mazishi na harusi ya ndugu yangu nkatua mrina asubuhi... pisi za kupoteza ugwadu hizi hapa zinagombania kazi unachukua mbili kwenda kujiliwaza ujinga upo wapi...
 
wawe wanaigawa bure bila vizi ga vya vocha na matumizi mengine... wengine wanajifanya expensive ufe na uprwiru wasukuma sasa hivi kkuoa ni kuanzia m6... una habari hio...
Duuuh hivi kweli mwanaume unakosa demu wa kukojolea hadi ukanunue kahaba
 
in short wanawake wote sasahivi ni wauzaji labda mwanamke anayeweza kumudu mahitaji yake...
 
I’d yako ya zamani ipi kiongozi? 😹😹
Kuniita kiongozi ni kunidhalilisha maana kazi yangu ni uwinga Kariakoo na shule niliishia darasa la pili.

Niligombea Ubalozi wa nyumba kumi nikakataliwa, kisa elimu. Hivyo siwezi kuwa kiongozi katika maisha yangu.

Heri ya mwaka mpya rafiki yangu. Usinisahau katika ufalme wako 2026, na wote tuseme Amen
 
Basi sawa
 
Ni bora umlipe malaya aliyeamua kujiuza 5,000/= kuliko kuhudumia malaya mnaowaita wapenzi

Kimahesabu mnunua malaya ana akili nyingi sana kuliko anayehudumia
 
Wanawake wote ni Malaya, wanatofautiana mbinu tuu
 
Back
Top Bottom