Ila kiuhalisia unampaje mtu zaidi ya 5000 kwa ajili ya short time.?

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
822
Reaction score
2,966
Hii ni hujuma vijana wa kileo wanayofanyiwa kwa kubabaika na muonekano ili kiuhalisia bado huo ni mlupo na pochi aliyonayo ni hio hio hata zubeda wa silimang'ombe ndani ndani anayo.

Kitendo ambacho asilimia 85 ya vijana hawawezi kuvuka hata dakika 2 ndio mtu analipishwa 10k, 20k, hadi 50k.
 
Hivi Askari sijui hawana kazi za kufanya, wanakuja Kwa wahaya hapa wanakamata watu hovyo eti kisa wanaenda kutomba Malaya, Sasa wakatombe ndugu zao?
Hivi hili ni jambo la kulivalia njuga unakamata watu hovyo unawalaza ndani kisa eti wanaenda kununua dada poa?
Hii nchi ni kama imelaaniwa aise.
Nchi Ina matatizo chungu nzima, Yako mambo mengi ya kupewa kipaumbele, lakini siyo ukamate watu wanaenda kufanya mapenzi
 
Sio maadili yetu kufanya ngono biashara.
Lazima serikali ilinde tamaduni zetu.
Haiwezekani kuanzisha majumba ya watu kujiuza, tuna watoto, Kuna magonjwa, vijana ndo nguvu kazi wakiuziwa huo ukimwi wakafa Taifa litajengwa na nani?
 
😹😹😹 Wee mzee
 
Wanadaiwa kodi hawa,baba kakimbia familia na bado kausha damu wanamsubiri ni fujo tu huku duniani.
 
Sio maadili yetu kufanya ngono biashara.
Lazima serikali ilinde tamaduni zetu.
Haiwezekani kuanzisha majumba ya watu kujiuza, tuna watoto, Kuna magonjwa, vijana ndo nguvu kazi wakiuziwa huo ukimwi wakafa Taifa litajengwa na nani?
Huu ndiyo utetezi?
Kuna mtu ambaye hajui Kuna magonjwa ya zinaa?
Hao wanaojiuza wanapita nyumba Kwa nyumba kutangaza biashara zao au wametulia vibandani mwao?
Hebu watanzania tubadilike.
Haya Mimi hapa nataka mwanamke Nina aftatu mfukoni, niende wapi? Nikalale na mke wa mtu? Nikalale na mwanafunzi?
 


HAKUNA MWANAMKE WA KIHAYA AMBAYE ANAJIUZA HAPA TANZANIA BARA NA VISIWANI , WALE SIO WAHAYA ILA WANAITWA WANYANYIGIRO WANATOKEA MULEBA , MUHAYA ANATOKA SEHEMU INAITWA BUKOBA MJINI NA BUKOBA VIJIJINI TU , NA HAWAFANYI HIZO BIASHARA


N.B UKIONA UNAKAMATWA BUGURUNI UJUE UMECHOMEKEWA NA HUYO MALAYA KWAKUWA UTARATIBU WAO PALE HAKUNA ASKARI HUWA ANAKUJA BILA KUPIGA SIMU
 
Kununua malaya ni unyonge na upumbavu
Unashindwa nini kutongoza na kushawishi wanawake wote wazuri mtaani hadi uende kudhalilisha utu wako Kwa kahaba.
Serikali watakukamata na kukushitaki kufanya hivyo ni kuvunja sheria za nchi.
Yaani serikali iache vijana waangamie Kwa ngono zembe, madawa ya kulevya, ati kwakuwa wanajidhuru wenyewe?
 
Ninachokwambia mpaka hao hao wanawake wanakamatwa mkuu.
Siyo kwamba unakamatwa mwanaume tu.
Kwa ufupi wamekuja kuleta mambo ya hovyo maana wanachukua simu, pesa n.k
Inakuwaje jeshi la polisi wanakuwa na njaa kiasi hiki.
Bahati mbaya Sana wateja wa dada poa hapa mtaani ni watu wa kawaida tu hawana hata mamilioni
 
wahaya unawatetea tu,ila ukweli ni kuwa wahaya wanaongoza katika biashara hiyo na tunawapenda mno.
 
wahaya unawatetea tu,ila ukweli ni kuwa wahaya wanaongoza katika biashara hiyo na tunawapenda mno.
 
unawezaje kumtambua mtu kuwa huyu sio malaya na huyu ni malaya?
 


Ukifika msimu wa sikuu badilisha utaratibu usitembelee hayo maeneo kabisa.

Kwakuwa ni mchezo unafanywa hapo .

Nachojua hao Kimboka huwa wanakuaga na uataribu kila danguro kupeleka kati ya 600K-
 
Hujamwelewa aise ana hoja. Si rahisi wakati una upwiru, kuvamia mwanamke yeyote. Hawa madadapoa wana umuhimu sana kwa sie akina baba. Nitatoa mfano halisi, kwa mwaka mzima nahangaika na Lamomy lakini hadi kesho ananitolea nje . Je, kwenye hali kama hiyo, mkombozi ni changudoa, unalipa 2,000 yako upwiru, utausikia katika bomba.

Scenario ya pili, je, Unajua kuwa na kimwana kama Lamomy kama mchepuko wako ni gharama? Kwa sie tunaobangaiza, jioni ukusanye 10,000 Kariakoo kwa kazi yetu ya uwinga kumiliki pisi Kali ni Mtihani! Tusidanganyane, Machangu wa 500 ndiyo mwokozi wetu.

Kwanza, Unajua Wateja wakubwa wa machangu, ni wanaume waliooa na wanathamini ndoa zao zisivunjike?

Ndani pakiwa pachungu, mara sijisikii, mara naumwa, mara nimechoka; mkombozi ni changu, unakula kimoja ukiwa njiani chapchap, hupotezi muda na mwenzako hakushuku, mwili mwepesi na hautakuwa na vihasira vya kitoto.

Mchepuko pamoja na gharama zake, lazima uupe nao time kiasi atasituka bi mkubwa.

Ubarikiwe
 
Ukitongoza maana yake utapewa Bure?
 
I’d yako ya zamani ipi kiongozi? 😹😹
 
Sio maadili yetu kufanya ngono biashara.
Lazima serikali ilinde tamaduni zetu.
Haiwezekani kuanzisha majumba ya watu kujiuza, tuna watoto, Kuna magonjwa, vijana ndo nguvu kazi wakiuziwa huo ukimwi wakafa Taifa litajengwa na nani?
Mbona kamari, pombe na sigara vinaruhusiwa? Watu wanahitaji kujiburudisha bwana
 
Sio kila mtu ana hadhi ya kijamii na kiuchumi ya kupata mwanamke anayemtaka. Hilo lipo uchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…