Ila kuna baadhi ya wanaume wenzetu ni mazoba sana

Kuna jamaa yetu tuko nae hapa kwa wachina.alimfumania mkewe wa ndoa takatifu kabisa analiwa na njemba nyingine ila cha ajabu jamaa limemsamehe mkewe na saivi limemrudisha nyumbani.
Huu ni uzoba au jamaa limerogwa?
Tatizo nyota
 
Ukiona mama kafumaniwa na njemba linamsamehe kuna mawili
Limbwata linahusika au ubwege
Mama ndio provider au mwenye last say ndani ya nyumba
 
Chukua bapa kubwa hapo πŸΊπŸ‘Š.....

Tunaachana hapo hapo......

I don't need family meeting wala notice ya mshenga wala baba padri
Nshachukua blood 🍺

Nakubali msimamo βœŠπŸΏπŸ‘ŠπŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Halafu wewe unatafuta malaya anayetoka na wanaume wengi kila siku. Hiyo ni akili au matope?
HAA!!

Hao malaya hua unanisaidia wewe kuwatafuta?

Personally I don't give a f**k 'with bitches.
 
HAA!!

Hao malaya hua unanisaidia wewe kuwatafuta?

Personally I don't give a f**k 'with bitches.
Wanaume wengi hiyo ndo tabia yao. Kama wewe haupo hivyo basi ni wa kipekee
 
Sikupingi na mtazamo wako.
ASilimia kubwa ya wanaocheat ni wanaume, unadhani bado wanapata heshima ile ile ya mwazo au mke anadhara hadi na yeye kwenda kucheat? Think!
Achana nae kama wewe ni msafi.
Siwezi kupinga kwamba makosa hutokea, lakini mimi naamini uaminifu na heshima ni msingi wa uhusiano.

Hivyo Sihitaji kulipiza kisasi au kuendelea kukaa nae na kupoteza heshima yangu kwa matendo yake.
 
Wanaume wengi hiyo ndo tabia yao. Kama wewe haupo hivyo basi ni wa kipekee
Kipekee..!!? May be!! πŸ˜‡


Lakini sioni kama suala la kuwa wa kipekee bali ni suala la kuchagua kufanya kilicho sahihi, sehemu sahihi, wakati sahihi.
 
Kuna jamaa yetu tuko nae hapa kwa wachina.alimfumania mkewe wa ndoa takatifu kabisa analiwa na njemba nyingine ila cha ajabu jamaa limemsamehe mkewe na saivi limemrudisha nyumbani.
Huu ni uzoba au jamaa limerogwa?
hivyo ndivyo Mungu ameagiza,huo sio uzoba
 
Another Man down [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna sababu inayohalalisha m/ke au me kutoka nje ya ndoa ,kama kuna mapungufu ni kuyaongea pamoja na kuweza kuyasolve kwa pamoja ,ukienda nje kisirisiri means hapo hakuna ndoa ni kuivunja tu.

Ooh neno hili πŸ‘ŒπŸΌ
Nimefurahi kukuona tena humu long taimu 😊
 
Ukisikia mapenzi ni upofu uwe unaelewa, na kamwe usijitape mbele za watu wala kuahidi chochote kuhusu mapenzi, unaweza kuumbuka.

Rafiki yangu alikua anajitapa hawezi kuwa na mwanamke mwenye mtoto, hivi sasa anae mwanamke mwenye watoto wawili na humwambii kitu kuhusu dem wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…