Ila kutapeliwa kunauma wakuu

Yaani,. Saizi hadi mtu akiniita tu kwa jina langu moja la Ubatizo naogopa😥😃
 
For real hawana huruma,.
Niliwaza wameacha kuwatapeli wenye mamilioni huko wanakuja kunipiga mimi mnyonge tena hela yangu ya mwisho
 
Pole deae
 
Songea Town ishakua ya hovyoo kwenye Utapelii.

Tena mtaa wa Zanzibar n hatari, Polee sana mwayaa, hiyo itakua St Joseph schools, ile ya Mahenge.

Niliwahi tapeliwa 140k tena kwa kuwapa mwenyewee.
Hatarii tupu.
Yaani sema niliulizia pale walisema hawana Hillux labda ni ya wale wa kampus St.Joseph university..
Ilaaa😂😂😂,. navyojionaga mjanja sasa🤒
 
eeeh pole sana, ndio maana mimi kwenye suala la pesa hua namuelekeza mtu then afanye mwenyewe sio me nimfanyie.

Siamini masuala ya uchawi, but ni ulikosa umakini pale alipojifanya anakufahamu na wewe ukaamini haraka bila kumuuliza how or where? Mindset game.
 
NA sijui huwa wanajuaje majina yako yote matatu,.
Ila kweli nilipigwa kizembe
 
Pole sana!
Imenikumbusha mbali sana!
Wewe ulipigwa padogo sana hapo!

Aiseh!

Labda nikuulize wakati wanakuambia hayo hadi ukatekeleza mapigo Yako ya moyo yalikuaje hasa!!?sio kana kwamba moyo ulikuwa unadunda Kwa kuvuma mara Moja moja!!?
 
Pole sana!
Imenikumbusha mbali sana!
Wewe ulipigwa padogo sana hapo!

Aiseh!

Labda nikuulize wakati wanakuambia hayo hadi ukatekeleza mapigo Yako ya moyo yalikuaje hasa!!?sio kana kwamba moyo ulikuwa unadunda Kwa kuvuma mara Moja moja!!?
Sema sasa sijui ndio akili zilikua hazipo,.

Maana nilikua kawaida sana aisee,tena hadi nlikua napigiwa simu na watu naongea nao huku naendelea na zoezi
Nyiee😥
 
Sema sasa sijui ndio akili zilikua hazipo,.

Maana nilikua kawaida sana aisee,tena hadi nlikua napigiwa simu na watu naongea nao huku naendelea na zoezi
Nyiee😥
Somebody I know better aiseh!!

Alikaribibisha mama ,Baba na mtoto mdogo ana miaka miwili kama wapangaji wapya Kwa nyumba yake Tena Kwa kuwaonea huruma!

Cha ajabu jamaa yule anamjua Hadi miaka mitatu nyuma matukio ambayo alifanya akawa namkumbusha jambo hili na lile!halafu baadae zikaingia ishu za pesa !!

Aiseh kilikua kilio kikubwa mno!
 
Matapeli washenzi sana aisee,. Wanaanzia mbali kukutengenezea mazingira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…