Ila kutapeliwa kunauma wakuu

Mmnh🤔
 
Pole sana wanatumia utapeli wa aina hii kila siku….
 
Nawaza sijui nianzie pale st.Joseph university kampasi yao, niende kule primary school na hospitali
Lakini kweli police wetu wanashindwa kufanya uchunguzi kwa details hizo jamani🤔
 
Welcome to 2025....... !!! Your year will be full of miseries and drawbacks !!
 
Mimi.huyo jamaa wakat anamaliza kuongea ningemuuliza huyo sista yuko wapi , ile anashusha kioo tu ningemtukana kumamayoh, na ningemjeukia jamaa na kumuambia na wewe kummaayoh..halafu ningesepa zangu.
Tatizo waliivyoniita kwa majina yangu na nikaitika tukasalimiana inaonekana ni watu familiar au wananijua mda mrefu sijui
 
Pole sana, huo sioo uchawi ni kakuhadaakwa wizi wa kuaminiwa


Never trust anyone kwenye hela

Usitoe mwanya kwa usiemjua

Pia usitoe any info ya account za bank wala mitandaoya simu

Hio gari wamebandika stika kuaminisha watu lakini ni utapeli
 
Hii kama sio kile kinywaji cha asubuhi basi pole sana, hapo hamna mtumishi wa Mungu hio laana haiwezi kuwafikia, bora ungewalani wakiwa kama matapeli.
Kwamba walivaa tu mavazi. Wanayapata wapi?.
 
Duuh
 
pole sana,Naamini umepata funzo lakutupatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…