Ila kutapeliwa kunauma wakuu

Nyie simnasema uchawi haupo, natamani wangemtapeli bwana Kiranga,


Ila pole sana sister,Mungu atakupa zaidi ya iko ulichopoteza inshallah
 
Nenda Lindi kawaroge kule kuna watu wakisema kesho huamki basi huamki kweli
 
Mimi hata mtu ninaemjua
Akinisimamisha huwa namsalimia juu juu
Sembuse nisie mjua
Yaani napitaga wima wima sana
Sisimamagi popote
Yaani mtu akishaanza sijui imepanda imeshuka
Ataniona yuleeee

Dar asilimia 70 watu wajanja wajanja tu
Bora uonekane sio mkarimu tu
 
Duuh,.
Ila kwa haraka haraka mtu kakuita majina yako yote lazima ustuke kidogo
 
Maana haimake sense walimjuaje hadi majina
 
Uko makini mno, Hadi nimekupenda bure

Angeanza na salamu wala nisingejibu kosa kuniita majina yangu yote matatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…