Ila kutapeliwa kunauma wakuu

Ila kutapeliwa kunauma wakuu

HAKUNA UCHAWI HAPO. Wanawake ni RAHISI SANA KUTAPELIWA Kuna sababu nyingi kama kua wepesi KUAMINI, fikra finyu, uwezo mdogo wa kupambanua mambo nk.

Alafu kurationolise ufinyu wa akili zenu mkitapeliwa mnakimbilia kusema mlirogwa na hiyo inathibitisha zaidi ufinyu wa akili zenu. Anyway pole

Kwanini wanaune hua hawarogwi na kutapeliwa wakati ndio watu wenye mapesa mengi kuliko wanawake, kwanini wanaume hua hawarogwi na hawatepeliwi kisenge ?! HAKUNA UCHAWI HAPO, WANAWAKE HUAMINI KIRAHISI NA WANA AKILI FINYU, viumbe dhaifu full stop.
Mkuu Usiseme kwamba wanaume haturogwi au hatutapeliwi hapana Sema tu asilimia kubwa ya wanaume hasa wale wapambanaji huwa na akili mingi na umakini mkubwa ila watu wanapigwa sana!
Mfano kuna tajiri mmoja hapa Dom anamiliki shule kubwa ya English medium na miradi kibao halafu jamaa amesoma mpaka ulaya
Ila huyu jamaa alipigwa kiboya sana,
Kuna kipindi alipata ugeni wa watu flani ambao walikuja na ndinga moja ya kifahari na wakadai ni watumishi wa taasisi flani kubwa ya dini inayohusika na kusaidia watoto yatima na wana vituo vya watoto yatima mkoa flani wa jirani sasa wakamwambia wamekuja kutafuta nafasi za shule za watoto kama mia na ushee ambao walikuwa wanasoma shule tofauti tofauti na wengine ndo wanaanza shule sasa kutokana na matokeo mazuri ya ufaulu wa shule hii jamaa wamevutiwa wakaona walete watoto wote wanaosomeshwa na taasisi hiyo waje kusoma hapa ambapo walifuata hatua zote za form za uhamisho, join instructions, passpor sizes za wanafunzi wote na kila kitu then wakaondoka wakiahidi kwamba watarudi wakishamaliza proccess zote pamoja na maandalizi.
Siku kadhaa jamaa wakarudi wamekamilisha kila kitu jamaa akavutwa pembeni washkaji wanataka awape 15M kama kifuta jasho kwa kazi walioifanya ya kumletea watoto wengi shuleni kwake na jamaa akazama bank akawachomolea pesa akawapa kwa ahadi ya kwamba ibaki kuwa siri wakubwa wao wasijue maana ni taasisi ya dini.
Jamaa alikuja kustuka masaa kadhaa baada ya wale jamaa kuondoka akipiga simu hazipatikani, Malipo ya awali ya ada za hao watoto hayajaingizwa kwenye account ya shule, wala hao watoto hawajaletwa zaidi ya rundo la makaratasi ya join instructions na medical checkup na uchafu mwingine(ilikuja kugundulika hata hizo karatasi zilipikwa mtaani na mihuri ya kuchonga hata passports sizes zilikuwa za kubumba kuna sura moja iko kwenye form zaidi ya 10 ila majina tofauti
Kifupi tukio hili liliandaliwa kiufundi sana kiasi kwamba hata police walichoka!
Mbaya zaidi jamaa hakumbuki hata sura za waliomtapeli na hata walipoenda naye bank hawakushuka kwenye gari yeye ndo alishuka akaenda kutoa hela akawaletea.
Sasa ukiangalia elimu ya huyu jamaa halafu ni mjanja kabisa ila akatapeliwa kipuuzi tena ishu aliifanya kwa siri bila kuhusisha hata waalimu Yaani siku alipoweka wazi kila mtu alishangaa!
 
Kujulikana majina mbona rahisi sana, kwa umri wako tangu unakuwa unasoma umekutana na wengi na wanakujua wengi kwa majina, unadhani wote ni wema na wanafanya kazi halali?

Watu wanashiriki kwenye dili haramu zikitiki wanapata mgao maisha yanaendelea.
mimi hata niliosoma nao chekechea nawajua
Ishu hapa ni hao matapeli wamemjuaje

@ weka namba tukupunguzie machungu kidogo
 
Mkuu Usiseme kwamba wanaume haturogwi au hatutapeliwi hapana Sema tu asilimia kubwa ya wanaume hasa wale wapambanaji huwa na akili mingi na umakini mkubwa ila watu wanapigwa sana!
Mfano kuna tajiri mmoja hapa Dom anamiliki shule kubwa ya English medium na miradi kibao halafu jamaa amesoma mpaka ulaya
Ila huyu jamaa alipigwa kiboya sana,
Kuna kipindi alipata ugeni wa watu flani ambao walikuja na ndinga moja ya kifahari na wakadai ni watumishi wa taasisi flani kubwa ya dini inayohusika na kusaidia watoto yatima na wana vituo vya watoto yatima mkoa flani wa jirani sasa wakamwambia wamekuja kutafuta nafasi za shule za watoto kama mia na ushee ambao walikuwa wanasoma shule tofauti tofauti na wengine ndo wanaanza shule sasa kutokana na matokeo mazuri ya ufaulu wa shule hii jamaa wamevutiwa wakaona walete watoto wote wanaosomeshwa na taasisi hiyo waje kusoma hapa ambapo walifuata hatua zote za form za uhamisho, join instructions, passpor sizes za wanafunzi wote na kila kitu then wakaondoka wakiahidi kwamba watarudi wakishamaliza proccess zote pamoja na maandalizi.
Siku kadhaa jamaa wakarudi wamekamilisha kila kitu jamaa akavutwa pembeni washkaji wanataka awape 15M kama kifuta jasho kwa kazi walioifanya ya kumletea watoto wengi shuleni kwake na jamaa akazama bank akawachomolea pesa akawapa kwa ahadi ya kwamba ibaki kuwa siri wakubwa wao wasijue maana ni taasisi ya dini.
Jamaa alikuja kustuka masaa kadhaa baada ya wale jamaa kuondoka akipiga simu hazipatikani, Malipo ya awali ya ada za hao watoto hayajaingizwa kwenye account ya shule, wala hao watoto hawajaletwa zaidi ya rundo la makaratasi ya join instructions na medical checkup na uchafu mwingine(ilikuja kugundulika hata hizo karatasi zilipikwa mtaani na mihuri ya kuchonga hata passports sizes zilikuwa za kubumba kuna sura moja iko kwenye form zaidi ya 10 ila majina tofauti
Kifupi tukio hili liliandaliwa kiufundi sana kiasi kwamba hata police walichoka!
Mbaya zaidi jamaa hakumbuki hata sura za waliomtapeli na hata walipoenda naye bank hawakushuka kwenye gari yeye ndo alishuka akaenda kutoa hela akawaletea.
Sasa ukiangalia elimu ya huyu jamaa halafu ni mjanja kabisa ila akatapeliwa kipuuzi tena ishu aliifanya kwa siri bila kuhusisha hata waalimu Yaani siku alipoweka wazi kila mtu alishangaa!
Mmmnh,.

Wezi ni viboko
 
Hata Mimi nikiwahi pigwa na Hawa kenge,nimetoka zangu home full pocket money naelekea zangu boarding school wale wangese walinisimamisha wakataja majina yngu yote matatu na kuongezea kubwa bibi yako ni mgonjjwa sana halafu wakanitoa manyoya mdomoni nakuja kujitambua wamesepa na kila kitu Hadi lakuchumpa langu timberland Kuna msamaria akanipa ndalana nauli narudi home kilio tu.Cha kushangaza mshua alicheka tu Wala hakuna react!
Wamekutoa manyoya yaani ukimaanisha....Mzee alishajua wa Mjini hao
 
Back
Top Bottom