Ila sisi wadada jamani...

Hata mimi mwanaume mfano ningekuta demu wangu kakaa na msela ningemchomoa kwa nguvu .....na mbaya zaidi nikute msela ni handsome kunizidi au ana status kunizidi ndo ningejaa sumu kinoma...mtu chake...
 
😂 😂 😂 😂 😂
 
Kama kwenye hicho kipicha huyo ni wewe tafadhali kwa heshima na taadhima ninaomba ikukupendeza unipe nafasi moyoni mwako kwani toka kitambo nimekuwa nikiteseka sana nikionapo hiko kipicha.kwahiyo rangi nitakuwa hata sihitaji kuwasha taa nikuone
 
Nmekukumbuka, dreadstyle,white ,teethbraces...ulikuwa hvyo,kama wewe sorry....aliniambia
 
Ahahahah. Wanaume sisi tuna akil sanaa walah 😂😂😂

Kwa kifupi hapo ni kwamba huyo Me ndio alitia mgomo kumfuata huyo dem wake wakakae pamoja.Inawezekan alipiga hesab akathaminisha mzigo aloketi nao siti moja akaona usinitanie ngoja nitulie hapa hpa ni test zari ,kuku wako manati ya nn, gf wake tayar wake tu .Anyway nadhan mleta mada atakuja na season 2 kuhusu nini kilitokea hapo "sitini" 😁😁😎😎😎
 
Afu unakuta uyo demu ni mbovu na akikuangalia ww ni pisi kali na umekaa na kibwana chake🤣🤣lazima amaind
 
samahan eti yule onyango unaijua kama hujui hiyo je obonyo yule kaka ya okothi mtt wa odinga
 
Carleen dear yaani kama nipo na Sakayo ndio ananipa hiyo story uliavyoandika yeye mtupu na ulivyomalizia mirinda nyeusi ndio kabisa sakayo anakujaaa anakataaaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mmefanana jamani miandiko mpaka vinywaji mnavyopenda
 
Uzi tayari na like kibao....
Kweli wadada
 
Humuamini mtu wako ndo ukose Raha hata kwa wapita njia? That's insane. Hata mwanamme awe mhuni kiasi kipi hawezi tembea na dunia nzima.

She's just insecure and once the man finds out to what extent she is, atamtesa Sana.
you said it all my smart dada mkubwa..!!
 
Au wangekodi boda wapande mishkaki wabanane vizuri kama hiyo ndo ilikua shida yake😂
Bado asingeweza m- control, kwani wakishuka wataendelea kubanana hadi kwenye maisha.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…