Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂 😂 😂Labda sio kwa purukushani zile za Dar.....utapata wapi muda wa kuombana.
Ila mimi namwonea wivu huyo jamaa. Wadada mimi nikiwahi kwenye seat huwa wanapita wanaenda kukaa nyuma.
Kuna siku nimezuia wana na wazee kama watano kisa tu atokee mdada nikae nae...nikaambulia sifuri...
Nikaishia kumruhusu bibi na kumsaidia kupaka mjukuu wake aliyeishia kunikojolea.
Umewaza Kama mimiInawezekana umemzidi viwango, ndio maana aliona wivu akijua labda jamaa yake atakuomba namba ya simu!
Ila ni mpumbavu hana busara.
Nmekukumbuka, dreadstyle,white ,teethbraces...ulikuwa hvyo,kama wewe sorry....aliniambiaNimeshindwa kuvumilia akii tena..! Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu,
Leo bwana nimejitokea zangu huko duniani kwenye mihangaiko, nikafika zangu kituoni, nikasubiri daladala ya ninakoelekea, ikaja nikapanda,
Sasa tumepanda zetu kama watu kadhaa hivii, sina zangu hili wala lile, kulikuwa na seat mbili jirani kabisa na mlangoni pale, akatangulia mkaka akakaa, kisha nikafuatia mie nikakaa,
the next person kupanda akawa mdada, ila akafika pale pembeni yetu cha ajabu akasimama motionless for few seconds akanitazama kwa macho ya khasira halafu akaenda kukaa seat nyingine ya mbele yetu ipo upande wa dirishani..!
Sasa nikashindwaa, kwani this girl nimewahi ona wapi.? Ni nini mbaya naye.? Ni nini nimefanyiana naye mbona kanitazama kwa macho kama vile niliwahi patana naye sehemu.??
Nikawachana tu naye, nikachukua kisimu changu nikadumbukia JF, after a while nikaona yule mrembo akageuka then akawa ana discuss na huyo jamaa aliyeko jirani yangu kuwa washuke kituo gani..!!
Ndiyo nikaelewa, anhaaa' hawa watu kumbe wapo pamoja, nikajiambia tu huyu dada kwa lile jicho kanikata walaqhi' huyu pembeni yangu itakuwa ni kifaa yake, angekuwa brother ake asingeni maindi vile.!
Luckily, wakashuka zao baada ya vituo kadhaa, nikaona afadhali wapeleke ukuch kuch hotae wao huko mbele, (ain't jealous hata)..
Ila wadada hii wivu nyingine muwachane tu nayo, It's a public transport, ingawa ningejua they're together I swear nisinge interfere ningewapisha kabisa.!
I ain't even that mad though, Jioni njema kwenu.!
Halafu sponsor mwaka unaisha ninasomeshwa linii.?
😂😂😂Wewe ni jf member wa pili unaepanda daladala, pole!
Hakika watu wa Dsm sio watu wazuriHahaha
Watu wa Dar mna mambo.
Nadhani atakuwa kenyan girl, unasoma lkn sauti yake inasikika!Ila nimekupenda na kuandika kwako maana nimesoma kama unaongea ndani ya akili yangu
samahan eti yule onyango unaijua kama hujui hiyo je obonyo yule kaka ya okothi mtt wa odingaNimeshindwa kuvumilia akii tena. Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu,
Leo bwana nimejitokea zangu huko duniani kwenye mihangaiko, nikafika zangu kituoni, nikasubiri daladala ya ninakoelekea, ikaja nikapanda,
Sasa tumepanda zetu kama watu kadhaa hivii, sina zangu hili wala lile, kulikuwa na seat mbili jirani kabisa na mlangoni pale, akatangulia mkaka akakaa, kisha nikafuatia mie nikakaa,
the next person kupanda akawa mdada, ila akafika pale pembeni yetu cha ajabu akasimama motionless for few seconds akanitazama kwa macho ya khasira halafu akaenda kukaa seat nyingine ya mbele yetu ipo upande wa dirishani.
Sasa nikashindwaa, kwani this girl nimewahi ona wapi.? Ni nini mbaya naye.? Ni nini nimefanyiana naye mbona kanitazama kwa macho kama vile niliwahi patana naye sehemu?
Nikawachana tu naye, nikachukua kisimu changu nikadumbukia JF, after a while nikaona yule mrembo akageuka then akawa ana discuss na huyo jamaa aliyeko jirani yangu kuwa washuke kituo gani.
Ndiyo nikaelewa, anhaaa' hawa watu kumbe wapo pamoja, nikajiambia tu huyu dada kwa lile jicho kanikata walaqhi' huyu pembeni yangu itakuwa ni kifaa yake, angekuwa brother ake asingeni maindi vile.
Luckily, wakashuka zao baada ya vituo kadhaa, nikaona afadhali wapeleke ukuch kuch hotae wao huko mbele, (ain't jealous hata)..
Ila wadada hii wivu nyingine muwachane tu nayo, It's a public transport, ingawa ningejua they're together I swear nisinge interfere ningewapisha kabisa.
I ain't even that mad though, Jioni njema kwenu.
Uzi tayari na like kibao....Nimeshindwa kuvumilia akii tena. Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu,

you said it all my smart dada mkubwa..!!Humuamini mtu wako ndo ukose Raha hata kwa wapita njia? That's insane. Hata mwanamme awe mhuni kiasi kipi hawezi tembea na dunia nzima.
She's just insecure and once the man finds out to what extent she is, atamtesa Sana.