William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani.
Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu.
Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi.
Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria alitumia hoja zipi kuvunja mkataba na kwanini hoja zake hazikukidhi takwa la kisheria la kuvunja mkataba wake?
Vipi wasome hukumu kabla ya kukamilisha kuandika hukumu yote na kutoa hukumu na ufafanuzi kwa pamoja.