Kupitia hili sakata nimeamini mama yetu Hana nguvu yeyote hapo jumba jeupe ,yupo Kama kivuli ,Ila mwenye control wa hii nchi ni mzee wa msoga na akina madelu.
Hili sakata linajionyesha waz kuwa Kuna wanasiasa wapo nyuma ya hili Jambo na hao tff wamepewa mwongozo.
Najiuliza fei angekua anatokea huko chato na enzi hizo jiwe yupo madarakan ,kwa vyovyote tff wangekua upande wa fei bila kujar Ana makosa au Hana .
Na wangekua upande wa fei bila hata kuambiwa lolote na jiwe ,yaan ingekua gia ya kujiendekeza kwake.
Sasa napata picha halisi huyu mama wanamchukulia poa had wanacheza na kijana wake wa ukerewe walikozaliwa pamoja