William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani.
Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu.
Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi.
Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria alitumia hojA zipi kuvunja mkataba na kwanini hojA zake hazikukidhi takwa la kisheria la kuvunja mkataba wake?
Vipi wasome hukumu kabla ya kukamilisha kuandika hukumu yote na kutoa hukumu na ufafanuzi kwa pamoja.
Nawewe unajiita great thinker? RubbishNi Kama sakata limeamua kuishia gizani.
Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu.
Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi.
Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria alitumia hojA zipi kuvunja mkataba na kwanini hojA zake hazikukidhi takwa la kisheria la kuvunja mkataba wake?
Vipi wasome hukumu kabla ya kukamilisha kuandika hukumu yote na kutoa hukumu na ufafanuzi kwa pamoja.
Mnaendelea kubebwa tu, TFF wanaendelea kuwafichia aibu.Mwanasheria wa vichochoroni naona ushakuja?
haya tuambie TFF imekiuka nini kwa sasa
Nendeni sasa sehemu ambayo hatutabebwa Ili mshindeMnaendelea kubebwa tu, TFF wanaendelea kuwafichia aibu.
Yaani unavyoandika as if una akili kumbe kichwani kumejaa kamasi tu[emoji1787]TFF wanatumiwa na wanasiasa, hili halina ubishi, ni wajinga pekee wasioona hili na kuamua kujiliwaza kwenye kivuli cha hisia.
Kila siku wakitoa taarifa kuhusu maamuzi ya hili suala, lazima watoe taarifa nusu, nusu nyingine itatolewa jumatatu, hizi haraka zinazowafanya watoe taarifa nusu nusu ni za nini?
Tuna watendaji wa hovyo sana kwenye shirikisho la mpira wetu, pale TFF panatakiwa kufanyiwa mabadiliko makubwa, wale watendaji waliopo ni corrupt, na wanafanya kazi kwa mahaba, badala ya kufuata sheria na taratibu.View attachment 2535607
Ona hili jamaa ndy umeandika ujinga gani huu??[emoji15]Kupitia hili sakata nimeamini mama yetu Hana nguvu yeyote hapo jumba jeupe ,yupo Kama kivuli ,Ila mwenye control wa hii nchi ni mzee wa msoga na akina madelu.
Hili sakata linajionyesha waz kuwa Kuna wanasiasa wapo nyuma ya hili Jambo na hao tff wamepewa mwongozo.
Najiuliza fei angekua anatokea huko chato na enzi hizo jiwe yupo madarakan ,kwa vyovyote tff wangekua upande wa fei bila kujar Ana makosa au Hana .
Na wangekua upande wa fei bila hata kuambiwa lolote na jiwe ,yaan ingekua gia ya kujiendekeza kwake.
Sasa napata picha halisi huyu mama wanamchukulia poa had wanacheza na kijana wake wa ukerewe walikozaliwa pamoja
Mjinga sana huyu jamaaUJINGA WA KIWANGO CHA MWENDOKASI KICHWANI
Duuh huwezi kuwa muelewa ukaandika hivi.Kupitia hili sakata nimeamini mama yetu Hana nguvu yeyote hapo jumba jeupe ,yupo Kama kivuli ,Ila mwenye control wa hii nchi ni mzee wa msoga na akina madelu.
Hili sakata linajionyesha waz kuwa Kuna wanasiasa wapo nyuma ya hili Jambo na hao tff wamepewa mwongozo.
Najiuliza fei angekua anatokea huko chato na enzi hizo jiwe yupo madarakan ,kwa vyovyote tff wangekua upande wa fei bila kujar Ana makosa au Hana .
Na wangekua upande wa fei bila hata kuambiwa lolote na jiwe ,yaan ingekua gia ya kujiendekeza kwake.
Sasa napata picha halisi huyu mama wanamchukulia poa had wanacheza na kijana wake wa ukerewe walikozaliwa pamoja
Hata huu uzi nao ni wa kupuuzia kwa kuwa unakosa hoja za mashiko [emoji706]Ni Kama sakata limeamua kuishia gizani.
Ilichokifanya Tff Ni kuwatisha mawakili wa feitoto wasiliongelee sakata Hilo kiundani na wao kuja kusema juu juu tu.
Hapo hukumu imetoka kiujanja ujanja tu. Na ukweli haifurahishi.
Uenda kweli Feitoto amekosea lkn Kuna ugumu gani kutupitisha kisheria alitumia hoja zipi kuvunja mkataba na kwanini hoja zake hazikukidhi takwa la kisheria la kuvunja mkataba wake?