Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa.
Hivi ni kweli Tundu Lissu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama alivyoweka mwenzake nchi nzima😀😀😀 na bado akawa anaogopwa??😀😀
Ila Lisu Kiboko tuacheni utani.
Lisu ni Kiboko Kwa sababu kuu ifuatavyo;
1. Kapigwa RISASI za kutosha tuu lakini hajabadili msimamo wake.
Tumeshawaona wanasiasa wengi wakitishiwa kidogo tuu wanasalimu amri, wengine wakipigwa wanakaa kimya, lakini Kwa Lisu 😀😀
Jambo hili wengi hatuliwezi.
Katika Siasa za TANZANIA, Rekodi ambayo haitavunjwa kirahisi ni rekodi ya Tundu Antipas Lisu, na miaka ijayo baada ya Sisi kuondoka hapa Duniani kuna kizazi kitamuona shujaa huku adui zake wakionekana kuwa walikuwa dhaifu na sifa zote watanyang'anywa.
Kiongozi hawezi kuwa Kiboko Kwa kujenga sijui miundombinu kwani mtu yeyote anaweza fanya hivyo akipewa Madaraka Ila anakuwa kiboko Kwa kupitia Mateso na Hali ngumu na bado asibadilishe msimamo wake.
Ni Kama vile kina Yesu WA Nazareth, Stephano aliyepigwa mawe mpaka Kufa, kina Nelson Mandela n.k
Je, wewe ni mwanasiasa yupi unayehisi ni Kiboko ambaye Lisu ni chamtoto?