Tundu Lissu hakuweka matangazo kwasababu za kibajeti, mfumo Dola uliokuwepo pamoja na umaarufu aliokuwa nao baada ya kuja kugombea akitokea Belgium.
Utawekaje matangazo bila idhini ya DED, na huyo DED alikuwa hajipendi?
Kwa vyovyote vile Mbowe alilazimika kumweka Lissu dhidi ya Magufuli, lakini Lissu dhidi ya mtu mwingine hawezi kuwa na impact sana.
Abadili msimamo ili iwe vipi ?
Maana binafsi ninachojua, Lissu alitakata kuuawa, sasa kubadili msimamo ili uungane tena na watu waliotaka kukuua maana yake hata watu duniani uliokuwa unawahubiria kuwa hao watu ni wabaya watakuona MPUUZI tu.
Jifunze tena kuhusu binadamu. Naona hujawajua vizuri.
Dunia hii unayoiona, kuna watu wanamwona IDDI AMINI ni SHUJAA, MOBUTU ni SHUJAA, GADDAFF ni SHUJAA, MUGABE ni SHUJAA, MAGUFULI ni SHUJAA.
Vile vile kuna watu wanamwona NYERERE HAFAI, MANDELA HAFAI.
Narudia tena JIFUNZE TENA KUHUSU AKIKI ZA BINADAMU.