Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
^miaka ijayo baada ya Sisi kuondoka hapa Duniani kuna kizazi kitamuona shujaa huku adui zake wakionekana kuwa walikuwa dhaifu na sifa zote watanyang'anywa^
Ni wazi unakiri kwamba hana wafuasi wowote wanaomkubali katika kizazi cha sasa. Kama walio naye leo hawamwoni kama shujaa, hatuwezi kutarajia lolote jipya kwa kizazi kijacho.
Matokeo yake kafa kibuduLisu ni kiboko. Alionya mara kadhaa kwamba "mwambieni Magufuli asicheze na uvhabguzi huu".
Magufuli akacheza nao. Kiko wapi Sasa?
Jamani Lisu kiboko
hata hivyo sifa kuu ya Lissu ni mwanaharakati na sio mwanasiasa!Kwema Wakuu!
Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa.
Hivi ni kweli Tundu Lisu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama alivyoweka mwenzake nchi nzima[emoji3][emoji3][emoji3] na bado akawa anaogopwa??[emoji3][emoji3]
Ila Lisu Kiboko tuacheni utani.
Lisu ni Kiboko Kwa sababu kuu ifuatavyo;
1. Kapigwa RISASI za kutosha tuu lakini hajabadili msimamo wake.
Tumeshawaona wanasiasa wengi wakitishiwa kidogo tuu wanasalimu amri, wengine wakipigwa wanakaa kimya, lakini Kwa Lisu [emoji3][emoji3]
Jambo hili wengi hatuliwezi.
Katika Siasa za TANZANIA, Rekodi ambayo haitavunjwa kirahisi ni rekodi ya Tundu Antipas Lisu, na miaka ijayo baada ya Sisi kuondoka hapa Duniani kuna kizazi kitamuona shujaa huku adui zake wakionekana kuwa walikuwa dhaifu na sifa zote watanyang'anywa.
Kiongozi hawezi kuwa Kiboko Kwa kujenga sijui miundombinu kwani mtu yeyote anaweza fanya hivyo akipewa Madaraka Ila anakuwa kiboko Kwa kupitia Mateso na Hali ngumu na bado asibadilishe msimamo wake.
Ni Kama vile kina Yesu WA Nazareth, Stephano aliyepigwa mawe mpaka Kufa,
Kina Nelson Mandela n.k
Je wewe ni mwanasiasa yupi unayehisi ni Kiboko ambaye Lisu NI chamtoto?
Kwenye hili labda useme lema kiboko maana yeyote aliyemuonya akashupaza shingo yalimkutaLisu ni kiboko. Alionya mara kadhaa kwamba "mwambieni Magufuli asicheze na uvhabguzi huu".
Magufuli akacheza nao. Kiko wapi Sasa?
Jamani Lisu kiboko
Ana Makinda anaweza kuwa miongoni mwa maspika bora kuwahi kutoka kwani aliwajua wabunge wake katika medani mbalimbali. Wakifika kwenye mambo ya kisheria utasikia mh Lisu tusaidie hapa.Lissu hata hotuba zake bungeni zilikuwa konki sana....mama makinda alimpa sana nafasi ikifika kwenye masuala ya sheria
Mpiganaji hawezi kukimbia uwanja wa vita. Anamuachia nani sasa apigane iwapo yeye aliamua kuwa mstari wa mbeleKwema Wakuu!
Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa.
Hivi ni kweli Tundu Lissu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama alivyoweka mwenzake nchi nzima😀😀😀 na bado akawa anaogopwa??😀😀
Ila Lisu Kiboko tuacheni utani.
Lisu ni Kiboko Kwa sababu kuu ifuatavyo;
1. Kapigwa RISASI za kutosha tuu lakini hajabadili msimamo wake.
Tumeshawaona wanasiasa wengi wakitishiwa kidogo tuu wanasalimu amri, wengine wakipigwa wanakaa kimya, lakini Kwa Lisu 😀😀
Jambo hili wengi hatuliwezi.
Katika Siasa za TANZANIA, Rekodi ambayo haitavunjwa kirahisi ni rekodi ya Tundu Antipas Lisu, na miaka ijayo baada ya Sisi kuondoka hapa Duniani kuna kizazi kitamuona shujaa huku adui zake wakionekana kuwa walikuwa dhaifu na sifa zote watanyang'anywa.
Kiongozi hawezi kuwa Kiboko Kwa kujenga sijui miundombinu kwani mtu yeyote anaweza fanya hivyo akipewa Madaraka Ila anakuwa kiboko Kwa kupitia Mateso na Hali ngumu na bado asibadilishe msimamo wake.
Ni Kama vile kina Yesu WA Nazareth, Stephano aliyepigwa mawe mpaka Kufa, kina Nelson Mandela n.k
Je, wewe ni mwanasiasa yupi unayehisi ni Kiboko ambaye Lisu ni chamtoto?
Nakwambia miaka mitano iliyopita imeonyesha wazi kuwa nchi hii watu wasiowaoga hawafiki 10.
10 wengi sanaNakwambia miaka mitano iliyopita imeonyesha wazi kuwa nchi hii watu wasiowaoga hawafiki 10.
Katika Siasa za TANZANIA, Rekodi ambayo haitavunjwa kirahisi ni rekodi ya Tundu Antipas Lisu, na miaka ijayo baada ya Sisi kuondoka hapa Duniani kuna kizazi kitamuona shujaa huku adui zake wakionekana kuwa walikuwa dhaifu na sifa zote watanyang'anywa.
Yuko jehanum anaungua moto mkali.Aliye mpiga risasi lissu kashatangulia mbinguni ,aliyepigwa Bado anakula mema ya duniani
Mama Makinda alijitahidi sana kuweka mizani sawa. Naye atakumbukwa kwa kulisimamia hiloLissu hata hotuba zake bungeni zilikuwa konki sana....mama makinda alimpa sana nafasi ikifika kwenye masuala ya sheria
aibu sana najihisi...lakini ukweli ndio huo japo ni ngumu kumesa bwashee........wengi ni HEROES BEHIND KEYBOARDS.. be blessedNakwambia miaka mitano iliyopita imeonyesha wazi kuwa nchi hii watu wasiowaoga hawafiki 10.
hata hivyo sifa kuu ya Lissu ni mwanaharakati na sio mwanasiasa!
na ni mwanaharakati 100%, kwa vitendo na kwa maneno! arguably the greatest tumewahi kuwa nae hapa nchini....... kina Mtikila wakasome!
aibu sana najihisi...lakini ukweli ndio huo japo ni ngumu kumesa bwashee........wengi ni HEROES BEHIND KEYBOARDS.. be blessed
Kwa hii idadi uko sahihi, na katika hao 10 mimi nipo top 5.
Mpiganaji hawezi kukimbia uwanja wa vita. Anamuachia nani sasa apigane iwapo yeye aliamua kuwa mstari wa mbele