Ila Tundu Lissu Kiboko; nimekumbuka hii




Mashujaa wote unaowafahamu Duniani hawakuwa na wafuasi wengi kipindi cha uhai wao.

Kuanzia unayemuamini Yesu Kristo au Muhammad hawakuwa na wafuasi wowote mpaka wanaondoka Duniani

Ukiwa unaijua historia ya Duniani huwezi kushindwa kulijua Jambo hili
 
hata hivyo sifa kuu ya Lissu ni mwanaharakati na sio mwanasiasa!

na ni mwanaharakati 100%, kwa vitendo na kwa maneno! arguably the greatest tumewahi kuwa nae hapa nchini....... kina Mtikila wakasome!
 
Lisu ni kiboko. Alionya mara kadhaa kwamba "mwambieni Magufuli asicheze na uvhabguzi huu".


Magufuli akacheza nao. Kiko wapi Sasa?

Jamani Lisu kiboko
Kwenye hili labda useme lema kiboko maana yeyote aliyemuonya akashupaza shingo yalimkuta
 
Lissu hata hotuba zake bungeni zilikuwa konki sana....mama makinda alimpa sana nafasi ikifika kwenye masuala ya sheria
Ana Makinda anaweza kuwa miongoni mwa maspika bora kuwahi kutoka kwani aliwajua wabunge wake katika medani mbalimbali. Wakifika kwenye mambo ya kisheria utasikia mh Lisu tusaidie hapa.
 
Mpiganaji hawezi kukimbia uwanja wa vita. Anamuachia nani sasa apigane iwapo yeye aliamua kuwa mstari wa mbele
 
Na kwa kuweka kumbukumbu sawa jamaa mpka anatokomea kuzimu ckuwah msikia akilitaja jina la huyu mwamba hadharan
 
Nakwambia miaka mitano iliyopita imeonyesha wazi kuwa nchi hii watu wasiowaoga hawafiki 10.
aibu sana najihisi...lakini ukweli ndio huo japo ni ngumu kumesa bwashee........wengi ni HEROES BEHIND KEYBOARDS.. be blessed
 
hata hivyo sifa kuu ya Lissu ni mwanaharakati na sio mwanasiasa!

na ni mwanaharakati 100%, kwa vitendo na kwa maneno! arguably the greatest tumewahi kuwa nae hapa nchini....... kina Mtikila wakasome!


Aisee!! Habari hizi tumeziona Kwa macho yetu wenyewe, zingine tulihadithiwa tungesema uongo lakini hizi tumeziona Kwa macho yetu wenyewe.

Hakika tunajivunia kuwa Zama hizi na kuyashuhudia mambo haya.

Mambo haya ingekuwa zamani yangewekwa kwenye misahafu na leo tungesoma katika mahekalu
 
aibu sana najihisi...lakini ukweli ndio huo japo ni ngumu kumesa bwashee........wengi ni HEROES BEHIND KEYBOARDS.. be blessed



πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mimi mwenyewe nilijiona kaoga Fulani hivi sema nikajificha kwenye kichaka cha utoto Kama utetezi wanguπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…