Ila Tundu Lissu Kiboko; nimekumbuka hii

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mimi mwenyewe nilijiona kaoga Fulani hivi sema nikajificha kwenye kichaka cha utoto Kama utetezi wanguπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
hahahaa....kichaka muhimu mkuu Robby...hasa kama huna power ya mawakili au kusepa foreign countries
 
Elfu 3 wengi mno,sema elfu 1 tu makamanda wenye msimamo kama yeye, HARAFU AKAINGIA MSITUNI
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tundu Lissu hakuweka matangazo kwasababu za kibajeti, mfumo Dola uliokuwepo pamoja na umaarufu aliokuwa nao baada ya kuja kugombea akitokea Belgium.

Utawekaje matangazo bila idhini ya DED, na huyo DED alikuwa hajipendi?

Kwa vyovyote vile Mbowe alilazimika kumweka Lissu dhidi ya Magufuli, lakini Lissu dhidi ya mtu mwingine hawezi kuwa na impact sana.
Abadili msimamo ili iwe vipi ?

Maana binafsi ninachojua, Lissu alitakata kuuawa, sasa kubadili msimamo ili uungane tena na watu waliotaka kukuua maana yake hata watu duniani uliokuwa unawahubiria kuwa hao watu ni wabaya watakuona MPUUZI tu.
Jifunze tena kuhusu binadamu. Naona hujawajua vizuri.

Dunia hii unayoiona, kuna watu wanamwona IDDI AMINI ni SHUJAA, MOBUTU ni SHUJAA, GADDAFF ni SHUJAA, MUGABE ni SHUJAA, MAGUFULI ni SHUJAA.

Vile vile kuna watu wanamwona NYERERE HAFAI, MANDELA HAFAI.

Narudia tena JIFUNZE TENA KUHUSU AKIKI ZA BINADAMU.
 
 
Kwako mashujaa ni kina nani?
 
Lisu ni mwamba kweli kweli. Siku aliniacha hoi na sitakaa nisahau ni pale aliposhtakiwa sijui kwa makosa gani akwawekwa ndani siku kadhaa siku aliyopewa dhamana nikawa nimekaa kwenye TV naangalia taarifa ya habari saa mbili usiku nikashangaa Lisu akihojiwa nje ya mahakama mbele ya waandishi wa habari akatamka na kurudia zaidi ya mara tatu neno dikteta uchwara. Kumbuka wakati huo kila mtu kaufyata nchi nzima.

Kila siku nawaza iwapo Mtikila angekuwa hai halafu akafanya "collabo" na Lisu si ingekuwa balaa. Maana niliwahi kumuona Mtikila kaitisha maandamano halafu wananchi hawakutokea muda ulipofika aisee jamaa aliandamana peke yake mitaa ya posta anaenda ikulu bila kuogopa difenda zilizojaa askari wakiwa na mabomu ya machozi. Kilichotokea mbele ya safari hata sijui nini maana nilisepa fasta mjini kwani enzi hizo ukisikia maandamano tu wewe anza maana mji wote unapigwa mabomu ya machozi bila mpangilio mnabaki kulia na kukohoa tu siku nzima.
 




πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mtikila nimemfahamu mwishoni mwa Uhai wake. Nilikuwa mdogo
 


Kwa Tundu Lisu hakuna ambaye hajui ni jasiri na mwenye msimamo.
 
Kwa sababu za kimaadili siwezi kujitaja.


Haina shida Mkuu.

Endelea kupambana Ila kuna Uzi wangu nilisema usisaidie masikini Acha wafe. Huo utakusaidiaπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Kwa Tundu Lisu hakuna ambaye hajui ni jasiri na mwenye msimamo.
Ukiongea haya kwa watu makini na wenye kumbukumbu ni lazima wakuchape vibao vya tako.

Muulize Lissu, Je, Lowassa ni FISADI au siyo FISADI.

Halafu utuletee tafsiri yako ya msimamo unayoijua.
 
Ukiongea haya kwa watu makini na wenye kumbukumbu ni lazima wakuchape vibao vya tako.

Muulize Lowassa ni FISADI au siyo FUSADI.

Halafu utuletee tafsiri yako ya msimamo unayoijua.


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Unataka nimtetee?


Hapo wakulaumiwa ni Mbowe ndio maana Mimi simuamini Sana mbowe lakini kwenye Siasa za upinzani Lisu anamsimamo wa kiwango cha juu.
 
Mwendazake alisema alidaka mawasiliano yake ya simu akitaka kulihujumu taifa, and akasema yeye ni Rais anajua mengi kuliko yeyote nchi hii. Tumuamini Mwendazake au wewe mleta mada?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Unataka nimtetee?


Hapo wakulaumiwa ni Mbowe ndio maana Mimi simuamini Sana mbowe lakini kwenye Siasa za upinzani Lisu anamsimamo wa kiwango cha juu.
Mbowe ndio anashikiria msimamo wa Lissu?

Kama Lissu alikubaliana na Mbowe kuhusu Lowassa maana yake hana msimamo kama wanasiasa wengine.

Unless kama una tafsiri yako nyingine kuhusu msimamo.
 
Mwendazake alisema alidaka mawasiliano yake ya simu akitaka kulihujumu taifa, and akasema yeye ni Rais anajua mengi kuliko yeyote nchi hii. Tumuamini Mwendazake au wewe mleta mada?


Mwendazake ninaweza kumuamini Kwa mengi tuu.

Ila hapa nazungumzia msimamo wa Lisu sijasema namuamini Lisu au Lisu aaminiwe.

Nazungumzia ujasiri wake wengi hatuna.

Sasa ujasiri kwenye nini hiyo ni mada nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…