Ila Tundu Lissu Kiboko; nimekumbuka hii

kuna mzee moja wa ccm huwa naongea nae anasema nchi hii mpinzani number 1 ni lissu.
 
Mwendazake alikufa na akina Bashite pia watu wake wote? au Mwendazake ndiyo alimpiga na risasi?
 
Lakini si yupo CCM?
Hajawahi kuhama CCM, ni mwanachama mwandamizi, more than 45 years! Na siyo CCM tu, ni mwandamizi kwenye vyombo vya usalama pia! Ndiyo maana inashangaza waliompokea na kumpa front seat kwenye vikao vikubwa kabisa vya chama overnight
 
Sasa si ufurahie kuwa mishe yenu CCM ilifanikiwa?
 
Mwendazake alikufa na akina Bashite pia watu wake wote? au Mwendazake ndiyo alimpiga na risasi?
Akina Bashite wanapumulia mashine now huo uwezo wa kumdhuru mtu wautoe wapi kwa sasa? Majanga yao tu wanashindwa kuyamaliza, kila mtu anaokoa roho yake! Hilo la Mwendazake ni utetezi uliokuwa unatoka enzi hizo why dereva hajitokezi
 
Wewe upo vizuri kichwani mkuu!Binafsi hata mimi Lissu namkubali sana ila Mbowe na Seif hapana hawa ni watu wa fursa tu wanaocheza na akili za wafuasi wao. Ila Lissu ni namba nyingine ile.

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
 
Sasa si ufurahie kuwa mishe yenu CCM ilifanikiwa?
Hamna cha kufurahia hapo, zaidi ni kushangaa inakuwaje chama kilichokuwa kinajinadi kina intelejensia kali sana nchi hii kikashikwa kirahisi vile na Edo na kumkaribisha front seat kwa kikao cha usiku mmoja tu
 
zibarikiwe mbegu zilizotolewa na mwanaume huyo na tumbo lililokubeba miezi tisa...na ibarikiwe siku ulokuja duniani

mama angeguna akagoma ku pushiiiiiii du leo hii wala usingesikikaaaaa

big up man .... maendeleo hayana chamaaa ...
 
Amemfanyia nani ugaidi na kituo kipi cha mafuta alipata kulipua? jinga kabisa
Hamna cha kufurahia hapo, zaidi ni kushangaa inakuwaje chama kilichokuwa kinajinadi kina intelejensia kali sana nchi hii kikashikwa kirahisi vile na Edo na kumkaribisha front seat kwa kikao cha usiku mmoja tu
Jamaa hawataki kuchutama kukubali kuruka mkojo na mwishowe wakakalia kimba..
 
Kupigwa risasi na kubaki na character ile ile ni kudra za Mungu pekee, lakini kiboko cha kukumbuka ni jinsi alivyosimamia haki yake kuonana na wanachadema wenzake huko mlandizi hata baada ya kuzuiwa na mamlaka akabaki kwenye gari hadi haki kilipotolewa na muda mchache akanyimwa usafiri wa meli kwenda ukerewe akashuka na kupanda boti za uvuvi.Haya ndiyo yanayompa ujasiri na yatakumbukwa
 
Lisu ni kiboko. Alionya mara kadhaa kwamba "mwambieni Magufuli asicheze na uvhabguzi huu".

Magufuli akacheza nao. Kiko wapi Sasa?

Jamani Lisu kiboko

mbona kakimbia nayeye sasa[emoji16][emoji16]

yaani kakimbia mpaka maiti nabado hana nia ya kurudi mwezi wa 10 huu.
 
Aliye mpiga risasi lissu kashatangulia mbinguni ,aliyepigwa Bado anakula mema ya duniani

sema mema ya belgium,mtu ambaye kakimbia alikozaliwa hata aliyeamini mbaya wake kufa,unasema anakula mema ya nchi!!!

ni ujinga ama kichaa!!!
 
Mkuu tutake radhi hiyo takwimu umeipataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…