Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #41
SawaWengine mngebaki kuwa wachangiaji tu sio Kila mtu afungue thread
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaWengine mngebaki kuwa wachangiaji tu sio Kila mtu afungue thread
Wala hataKawapanga foleni na leo umestuka ndo unatoa ya moyoni
HeheheheWala hata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hata hapo ulipo unaweza anza na mimi .Pigeni madongo ila wanafaidi ningekuwa mwanaume ningesomea uganga tu yaani na paka mkonge chap naanza nawewe SItanii
We tayari nini? Daaah... Tupe story ilikuaje? 🤣🤣🤣🤣🤣Nilikuwa nimeshaanza xmass uchagani ila nimekaa nikawaza lazima nitoe hii post.
1. Sisi vijana tunapenda hela za haraka.
So tunaenda shot cut Kwa waganga, mganga anasema lazima nilale na wewe ili dawa ingiee vizuri.
Sio wewe tu, na Maria, Sheila wengi tu waganga unawalipa kukula kila ukienda unatoa hela ya vifaa pamoja na yeye kukula maana atadai lazima Kuna dawa ya kuweka huko.
Kwa shauku anawala watu wote hadi keroo. Na mtu anaweza kupata UTI na magonjwa ya zinaa ila hajali Kwa maana kanogewa.
Sahivi waganga wanafira hadi wanaume ili wakidhi haja zao ila wao wanadai ni masharti .
Yaani wanajisevia na wanaliwa wakaka wa watu. Kwa hiyo huduma ai basi tu.
Mamboo yamekuwa mamboo.
Maisha ndiyo hayo.
Merry Xmass and Happy New Year
Kwa miaka mingi hiyo tabia imekuwapo,,Kuna jamaa alikua anausaka utajiri akapigiwa MKE ,,,bintiye na mwisho nae akapigwa pipe...na hayo yanafanywa ili MTU atajirike,,,binadamu tuko wapuuzi sanaNilikuwa nimeshaanza xmass uchagani ila nimekaa nikawaza lazima nitoe hii post.
1. Sisi vijana tunapenda hela za haraka.
So tunaenda shot cut Kwa waganga, mganga anasema lazima nilale na wewe ili dawa ingiee vizuri.
Sio wewe tu, na Maria, Sheila wengi tu waganga unawalipa kukula kila ukienda unatoa hela ya vifaa pamoja na yeye kukula maana atadai lazima Kuna dawa ya kuweka huko.
Kwa shauku anawala watu wote hadi keroo. Na mtu anaweza kupata UTI na magonjwa ya zinaa ila hajali Kwa maana kanogewa.
Sahivi waganga wanafira hadi wanaume ili wakidhi haja zao ila wao wanadai ni masharti .
Yaani wanajisevia na wanaliwa wakaka wa watu. Kwa hiyo huduma ai basi tu.
Mamboo yamekuwa mamboo.
Maisha ndiyo hayo.
Merry Xmass and Happy New Year
HatariiKwa miaka mingi hiyo tabia imekuwapo,,Kuna jamaa alikua anausaka utajiri akapigiwa MKE ,,,bintiye na mwisho nae akapigwa pipe...na hayo yanafanywa ili MTU atajirike,,,binadamu tuko wapuuzi sana
Mie sikuwai shuhudia ila jamaa ya mganga anaejua Yule mganga n tapeli ndo aliyamwaga hayo ilikua miaka ya 2010,,,,so probably ME walioliwa na waganga n wengi sanaUnaona ndio nimeona namimi nikastaajabu hadi aibu Sasa mie ni mara mbili me na ke wanapigwa mashine hatari.
Aisee kaliMie sikuwai shuhudia ila jamaa ya mganga anaejua Yule mganga n tapeli ndo aliyamwaga hayo ilikua miaka ya 2010,,,,so probably ME walioliwa na waganga n wengi sana
Kuna dada alikua analalamika kwa mwenzie kuwa nimeenda kwa mganga akasema aniingizie dawa kwenye utumbo ,,,ikabidi nimwambie ukweli kuwa tusiweke dawa ndani ya mwili kwani natumia arv,,,,anasema mganga akasema Basi ntakupa ya kuoga,,,,nikajua mganga alitaka kuchana Malinda[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee kali
Safiii..Usiende kwa waganga, ukitaka pesa uniPM number yako nikuwekee muamala
Nilipendwa na mkaka mara rafiki yangu akamdaka mpenzi wangu Kwa ndumba basi Kwa mapenzi moto moto nilienda kwetu Kwa tambiko hlili arudi na alirudi soon nitasemaga ukweli not nowMtoa mada tupatie experience yako!
Mapenzi mubashara!Nilipendwa na mkaka mara rafiki yangu akamdaka mpenzi wangu Kwa ndumba basi Kwa mapenzi moto moto nilienda kwetu Kwa tambiko hlili arudi na alirudi soon nitasemaga ukweli not now