Ila waganga mmh, hayaa

Ila waganga mmh, hayaa

Nilikuwa nimeshaanza xmass uchagani ila nimekaa nikawaza lazima nitoe hii post.

1. Sisi vijana tunapenda hela za haraka.

So tunaenda shot cut Kwa waganga, mganga anasema lazima nilale na wewe ili dawa ingiee vizuri.

Sio wewe tu, na Maria, Sheila wengi tu waganga unawalipa kukula kila ukienda unatoa hela ya vifaa pamoja na yeye kukula maana atadai lazima Kuna dawa ya kuweka huko.

Kwa shauku anawala watu wote hadi keroo. Na mtu anaweza kupata UTI na magonjwa ya zinaa ila hajali Kwa maana kanogewa.

Sahivi waganga wanafira hadi wanaume ili wakidhi haja zao ila wao wanadai ni masharti .

Yaani wanajisevia na wanaliwa wakaka wa watu. Kwa hiyo huduma ai basi tu.
Mamboo yamekuwa mamboo.
Maisha ndiyo hayo.

Merry Xmass and Happy New Year
We tayari nini? Daaah... Tupe story ilikuaje? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa miaka mingi hiyo tabia imekuwapo,,Kuna jamaa alikua anausaka utajiri akapigiwa MKE ,,,bintiye na mwisho nae akapigwa pipe...na hayo yanafanywa ili MTU atajirike,,,binadamu tuko wapuuzi sana
 
Hatarii
 
Unaona ndio nimeona namimi nikastaajabu hadi aibu Sasa mie ni mara mbili me na ke wanapigwa mashine hatari.
Mie sikuwai shuhudia ila jamaa ya mganga anaejua Yule mganga n tapeli ndo aliyamwaga hayo ilikua miaka ya 2010,,,,so probably ME walioliwa na waganga n wengi sana
 
Aisee kali
 
Sasa huyo Me ,,shaft ilizama vipi nae au ndo michezo yake ....???[emoji23]
 
Aisee kali
Kuna dada alikua analalamika kwa mwenzie kuwa nimeenda kwa mganga akasema aniingizie dawa kwenye utumbo ,,,ikabidi nimwambie ukweli kuwa tusiweke dawa ndani ya mwili kwani natumia arv,,,,anasema mganga akasema Basi ntakupa ya kuoga,,,,nikajua mganga alitaka kuchana Malinda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema hii naisikiaga inawakuta sana wale wanawake wasio na uzazi.
 
Mtoa mada tupatie experience yako!
Nilipendwa na mkaka mara rafiki yangu akamdaka mpenzi wangu Kwa ndumba basi Kwa mapenzi moto moto nilienda kwetu Kwa tambiko hlili arudi na alirudi soon nitasemaga ukweli not now
 
Back
Top Bottom