ATM 😁Uko wapi?
usiku huuATM 😁
Mchana foleniusiku huu
Chief kumbe wajeda nao ni six figures??Sio Walimu isipokuwa most of Six figure earners are living paycheck to paycheck life .
Kama umekaa na Askari police , wanajeshi n.k mshahara ukitoka lazima utajua na ukiwa unafanya biashara karibu na wanapoishi siku hiyo mauzo yako yatakuwa juu.
Sasa ikiwa wanajeshi wenye vyeo wanapanga foleni na kupigiana simu je utakuaje hao walimu wa Primary wanaopata laki moja baada ya makato ya kodi na mikopo mbalimbali
Sema walimu wamezidi na sijui huwa wanafikiria nnMchana foleni
Kwahiyo kama ana eneo na kalima mchicha na wateja ndo hao asiuze? Auache tu kisa gari la mil 10 la mkopo?Sema walimu wamezidi na sijui huwa wanafikiria nn
Wakati nipo field kuna Mwalimu alikuwa na Gari Ila anakuja na mchicha ofisini anauzia walimu wenzake
Nikawa najiuliza Kama anaendesha gari ya 10M kwanini asingefungua biashara hata duka la mangi ikawa Kama side hustle kuliko kuuza mboga za majani ili apate Mafuta ya Gari.
Muda mwingine walimu hawapo Creativeness in making money .
Ukiwa na access ya kupata mkopo Ila ukanunua Gari la kutembelea ambalo haulimudu then ukaanza kuuza mchicha wa 200k ili tu upate mafuta ya Gari unakuwa haupo serious na kiuchumi unakuwa unajikandamiza
Hawa ambao begani hawajachafuka most of them are six figure earners Ila hiyo kupanga foleni siku za Mshahara is Anikwepabo in Tz isipokuwa walimu wamekuwa Kama Panchi begi kila MTU anajipigia .Chief kumbe wajeda nao ni six figures??
Hana Eneo huyo isipokuwa alikuwa ananunua pale Tandika kuna sehemu panaitwa Mahakama ya Mboga .Kwahiyo kama ana eneo na kalima mchicha na wateja ndo hao asiuze? Auache tu kisa gari la mil 10 la mkopo?
Sawa mwalimu, msamehe kwa kuwapa ukweli mchunguAchana nao fanya mambo yako.....
Sasa hao wa shule za private wa sh. Laki nne ungewasikia wapi mshahara wenyewe unalipwa tar 30 au ht mwezi mwingine. Walimu wa serikali kwanza ni Taifa kubwa na ndio wenye uhakika wa kulipwa bila kupitisha ht siku moja hao wengine wako km watoto yatima. Private ni wadhulumaji na wanyanyasaji, mshara laki 4 na hauongezeki mpk unastaafu au unaacha kazi.Yani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Kinachomsumbua huyo lofa ni wivu, unahangaikaje na jambo halikuhusu?Achana nao fanya mambo yako.....