Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Sasa we danga una nini zaidi ya kusubiri wanaumeSio Walimu isipokuwa most of Six figure earners are living paycheck to paycheck life .
Kama umekaa na Askari police , wanajeshi n.k mshahara ukitoka lazima utajua na ukiwa unafanya biashara karibu na wanapoishi siku hiyo mauzo yako yatakuwa juu.
Sasa ikiwa wanajeshi wenye vyeo wanapanga foleni na kupigiana simu je utakuaje hao walimu wa Primary wanaopata laki moja baada ya makato ya kodi na mikopo mbalimbali
Umejitahidi kuwa mchunguzi wa maisha ya watuSema walimu wamezidi na sijui huwa wanafikiria nn
Wakati nipo field kuna Mwalimu alikuwa na Gari Ila anakuja na mchicha ofisini anauzia walimu wenzake
Nikawa najiuliza Kama anaendesha gari ya 10M kwanini asingefungua biashara hata duka la mangi ikawa Kama side hustle kuliko kuuza mboga za majani ili apate Mafuta ya Gari.
Muda mwingine walimu hawapo Creativeness in making money .
Ukiwa na access ya kupata mkopo Ila ukanunua Gari la kutembelea ambalo haulimudu then ukaanza kuuza mchicha wa 200 ili tu upate mafuta ya Gari unakuwa haupo serious na kiuchumi unakuwa unajikandamiza
😁😁😁Sasa we danga una nini zaidi ya kusubiri wanaume
Hiki kiingereza vipi, mbona kama kinatia shaka?Muda mwingine walimu hawapo Creativeness in making money .
Hiki kiingereza vipi, mbona kama kinatia shaka?
Ulikuwa field ukisoma level gani ya elimu?
wanakuwa hawana kama wewe ulivyo....kyagata nshomile!hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Na mwingereza anakosea kiswahili but you do not question him......why question mtanzania na kwanini iwe aibu akikosea kiingerezaHiki kiingereza vipi, mbona kama kinatia shaka?
Ulikuwa field ukisoma level gani ya elimu?
Mkuu badilisha kichwa ,sema ''waalimu'' umalizie kutunanga,kwa sababu hata yule aliyetolewa chuo kikuu akafanye majukumu mengineYani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Kwenye ma bar huko ndio kunakuwa vurugu mechiSio Walimu isipokuwa most of Six figure earners are living paycheck to paycheck life .
Kama umekaa na Askari police , wanajeshi n.k mshahara ukitoka lazima utajua na ukiwa unafanya biashara karibu na wanapoishi siku hiyo mauzo yako yatakuwa juu.
Sasa ikiwa wanajeshi wenye vyeo wanapanga foleni na kupigiana simu je utakuaje hao walimu wa Primary wanaopata laki moja baada ya makato ya kodi na mikopo mbalimbali
We mjingaSema walimu wamezidi na sijui huwa wanafikiria nn
Wakati nipo field kuna Mwalimu alikuwa na Gari Ila anakuja na mchicha ofisini anauzia walimu wenzake
Nikawa najiuliza Kama anaendesha gari ya 10M kwanini asingefungua biashara hata duka la mangi ikawa Kama side hustle kuliko kuuza mboga za majani ili apate Mafuta ya Gari.
Muda mwingine walimu hawapo Creativeness in making money .
Ukiwa na access ya kupata mkopo Ila ukanunua Gari la kutembelea ambalo haulimudu then ukaanza kuuza mchicha wa 200 ili tu upate mafuta ya Gari unakuwa haupo serious na kiuchumi unakuwa unajikandamiza
Sema walimu, manesi, polisi, wanajeshi na watumishi wa halmashauri ndo tabia zao!Yani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Kwanini unaumia sana na maisha ya watu wengine??Yani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Hivi wewe anaumia wapi, ukumbuke hao walimu wana wazazi na ndugu wanaowategemea.Yani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.