Ila walimu wa shule za Serikali wanajiaibisha sana

Halafu wewe ndio waona aibu ila kwao wao shangwe tu
 
Mkuu kila mtu anakipaumbele chake Kama huyo itakua ndoto yake ilikua kumiliki Gari, na Mwingine anaona walimu wenzake wana miliki magari na yeye ikabidi afate mkumbo ili aonekane na yeye siyo mnyonge.
 
Laki Moja Kmmk how they're supposed to live!?
 
Tukiacha utani ,fani ya ualimu na madaktari ndizo zilizobeba watu wajanja na wenye uwezo wa kiakili..Yaani sikuwa najua mishahara ila tangu shule msingi nilikuwa naona walimu wana mafanikio sana ya ujanja ujanja,ukija kwa madaktari napo ni hivyo hivyo.

Sitanii ila walimu despite ya kuwa na mishahara midogo kama mnavyodai ila wana akili sana za maisha , ukienda maeneo ya vijijini walimu wako vyema sana ..Mimi mjomba wangu alikuwa mwalimu ila alikuja kuacha baada ya miaka zaidi ya kumi ,ameacha akiwa na nyumba mbili ,kwa sasa ni Afisa kwenye kada za maendeleo ya jamii.
 
😂😂😂 hiyo ndo maana halisi ya 3rd world countries..
 
Sema walimu, manesi, polisi, wanajeshi na watumishi wa halmashauri ndo tabia zao!
Kwasababu wapo wengi kuliko kada zingine na kingine Viongozi wao wanatumia Bank zingine tofauti hizi zilizopo kila Wilaya, na idara zingine wafanyakazi wake wanakua na pesa za wizi na wanakua na Account nyingi kwenye Bank tofauti, Askari, Walimu wao asilimia kubwa wanakua na Bank moja tu ndiyo maana kwenye kutoa mishahara wanaonekana wana njaa, na wanao jaa kwenye kutoa ni Wafanyakazi wa vyeo vya chini.
 
Inasikitisha sana.. Tuwahurumie sana hao watu.. Kuna mmoja alikopa milion 4. Bank fulani, akawa anakatwa laki na 65 kwa mwezi ndani ya miaka mi4
Ndo uwezo wao jamani..
Kumbuka mishahara midogo ni tatizo la kimfumo (systematic problem) ,linalosababishwa na uchumi mbovu wa nchi.
Aya sasa tujiulize watalipwaje mamilioni mengi?Je wao binafsi wana uwezo wa ku influence uchumi wa nchi kua mkubwa?Jibu ni Big No ,it is out of their control .Badala ya kuwadharau inatakiwa tuwasifie na kuwapa moyo kwa uzalendo wa kujenga nchi yao katika mazingira hayo magumu.
Ni binadamu gani hataki kupata kikubwa kwa ujira wa kazi anayoifanya (rational thinking)??
We should not blame the victim and it should not be a victim blaming game period !!
 
Akili bila hela sio sawa na hela bila akili
 
True bro. It's system problem pia dependents wana pressure mpaka wanachukua shark loans.

Loans Institute nyingi zimepata high profit bcuz ya teachers.
 
Walimu ni MAJANGA kweli ila Kwa hapa nawatetea hiyo ni tabia ya wafanyakazi wote wa serikali
 
Ok
 
Hawapo creativity siyo,huko mashuleni sijui kuna shida gani siku hizi!!!!?
 
Sasa we danga una nini zaidi ya kusubiri wanaume
Mwalimu failure mbona una kisirani hivyo?

Nani alikutuma ufeli wakati wenzako wanapambana wafaulu wakafanye kazi zenye kuheshimika na jamii?

Walimu lazima mkubaliane na ukweli nyinyi ni failure mliokosa pakwenda mkaamua kwenda ualimu ambako ndipo failures hukimbilia.

Muwe mnavumilia japo masaa matatu yapite ndiyo mkatoe hivyo vilaki tatu vyenu.

Mimi huwa siendi kutoa hela ATM tarehe za mshahara maana utakutana na foleni ya walimu hadi inafika mita 50 kitoka ATM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…