Ila walimu wa shule za Serikali wanajiaibisha sana

Poleni sana walimu wetu
 
Tatzo kuna namna walimu wanaishi maneno ya watu ile kufogoshwa.
Na kwakuwa mazingira yao ya kazi ni kijijini sana kuna namna wanaishi wanajikuta vile walivyo.kwamba lazima wafunge safari kutoa pesa.

Lakin pia mkuu hivi wew umewapima kwa kiwango cha watu gani, mpaka ukaona wanakosea wanachokifanya? Je, wew ktk hiyo life style yako ni tabia gani unadhani watu watanakuona juha?
 
Na si ajabu karibia mshahara wote wanaenda kulipia madeni,wanachobakiza ni kiduchu!!,,tokana na mchecheto na uko kuropoka,vibaka nao uwapora,,kwa kweli wanahitaji elimu yanidhamu ya fedha.😂😂
 
Ni sawa na mpangaji anayejikopa mahala na kununua gari la kutembelea,ambalo halizai chochote,ni bora mara mia angenunua kipande cha aridhi na kujijengea kajumba kake akajisitiri.
 
Kawaida hiyo,tajiri kacheka nasi tunacheka!
 
Naomba kujifunza yafuatayo:


au yeye anatumia mbinu gani kuwabana?
hello, naomba unijibu maswali haya tafadhali. DR HAYA LAND 30 JR
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…