Ila wanaume na nyie mnataka nini?

Wanawake mkishatambua mnahitaji nini, dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi
 
Wee una stress sio bure...kesho ngoja nikupeleke taifa ukapoze stress bill zote juu yangu mzabzab
 
Kwani we ulijua wanaume ni malaika eti? Sisi ni binaadam kama wewe tu,hizo shida ulizonazo hata sisi tunazo, kaza mtoto wa kike si tumekubaliana kuwa ni 50/50, pambana upate Hela sasa.
 
Wanaume watafanya kazi Kwa jasho na mwanamke atazaa Kwa uchungu andiko limesema na halijasema tufanye kazi Ili tujileee [emoji3][emoji3] Mzee baba fany kazi ugawe jasho lako [emoji3]
Yani walioenda the Dome masaki kuona wachekeshaji wangepitia humu sidhani kama wangeelekea kule, maana tayar wangesha kinai kucheka. πŸ™ƒπŸ« 
 
Pia intellectual kama mie somo ake. Bongo inachaji saa 24 mpk kero, unaongea na watu wanaanza kukutizama kwa wasiwasi unajiuliza kisa labda ni mwana jukwaa, researcher nk. Na hapo ni Dar ikiwa mkoani je?
 
Anakuwa na wewe huku anatafuta mwingine πŸ˜…πŸ˜…
 
Anakuwa na wewe huku anatafuta mwingine πŸ˜…πŸ˜…
Nahisi huu Uzi alofungua hakuna na Nia ya kuzua vichekesho na vihoja ama inaashiria huko mapenzini Kuna mahoka ya kukata na shoka. Mungu saidia mapenzi na mahusiano ya Leo.

Yarudi kuwa yale ya kitabu Cha wimbo ulio bora. Ikiwezekana.
 
Nahisi huu Uzi alofungua hakuna na Nia ya kuzua vichekesho na vihoja ama inaashiria huko mapenzini Kuna mahoka ya kukata na shoka. Mungu saidia mapenzi na mahusiano ya Leo.

Yarudi kuwa yale ya kitabu Cha wimbo ulio bora.
Mahusiano sasa hivi ni vichekesho πŸ˜…
 
Inaonekana Hapa anatafuta uhalali tuu. (Verification)
Sasa watu badala ya kuverify wanaanza kumpiga Danadana. Au ule mpira wa ku_ suffer wanamchanganya.

Ndio mana Huwa nasemaga hii jf ni rejea ya wengi ktk kuchukua maamuzi yanayoathiri Moja kwa Moja maisha yao ivyo mnapochangia nyuzi tuwe makini mno maana kuna aminika kuliko eneo lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…