Ila wanaume na nyie mnataka nini?

Ila wanaume na nyie mnataka nini?

Nitakushirikishaje hayo mambo yangu halafu najua huna cha kunisaidia zaidi ya kunipa pole tu?
nimegundua unataka tu ujue vyanzo vyangu vya mapato then ujue kama nakufaa au la! yaani hapa i don't date you with money in the line maana nakujua ukijua kuna kitu unafaidika nacho basi utaendelea kubaki kwa ajili ya hicho kitu.

nitakuhudumia ila ukiwa na hela yako ndio tutachangiana mawazo na nitakushirikisha. Yaani nakushirikisha jambo nikihitaji support na najua unaweza ukasaidia. Otherwise, napambana mwenyewe!

Sipendi mwanamke mvivu na tegemezi, unachojua ni kutoa mbususu tu na kusema shida zako.
 
Tatizo mwanamke ukimuambia ukweli wa kila kitu huwa anakudharau, ..mke wangu aliniambia eti niwe namshirikisha kwenye mambo yangu nikamuambia haiwezekani kwa sababu wewe huchangii chochote hapa zaidi ya kula na kulala, siku na wewe ukiweza kuchangia hata 10000 Tu ya matumizi nitakushirikisha.....
Ulimjibu vizuri vipi reaction yake ikawaje?
 
Back
Top Bottom