Ila wanaume na nyie mnataka nini?

Ila wanaume na nyie mnataka nini?

Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?😎

Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu unazingua?🙌🏾

Aya et nyie mna offer et pussy tu hamjawai kuongea constructive ideas na mpenzi wako mkikutana ni kulana tu kusema ukweli nikapata mtu atakua anataka malengo lazima ntakucheat niende kwake?😈

Sio Kila single mama alipenda awe ivyo jaman msituchoshe mnakwaza!😹😹😏

Stay focused #2025 #2026#2027.
Women have nothing to be accountable for. Everything they put blame on men except their periods.
 
Mwanaume kukusaidia hela mkiwa kwenye mahusiano ni sawa.
Ila isiwe too much.

Kama hajakuoa kwann unambebea Mimba?!
Hata kama umekaa nae miaka 5 kwa mahusiano, kama hajakuweka ndan au kakuweka ila kwao/kwenu hawajui kama Mnapika na kupakua, usibebe Mimba ya Mwanaume.

Maisha yamebadilika, sikuhizi tunataka wanawake wenye akili,
Wanaojua kutoa mawazo ambayo yatakufungua fikra, wenye heshima, wanaojua kutunza /kutafuta hela.
Wanaojua budget nk nk

Sasa mtu kazi ni kutoa K na kuomba tu hela.
My furend. Mbususu itatwangwa had unazeeka.
Utabak kusema una nuksi kumbe huna akili za maisha..
 
Back
Top Bottom