Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
Sikuhiz tunakupea alafu tunakublockWakuu habari za jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
KumbeSikuhiz tunakupea alafu tunakublock
Hivi kwann mnafanya hv, nikuwa mwanaume sio hb, hauna interest nae au kwasabbu unakua na uhusiano?Sikuhiz tunakupea alafu tunakublock
Kwasababu mtu analazimishaaa sana yaan anaomba namba ka deni basi tunakupa alafu tunablockHivi kwann mnafanya hv, nikuwa mwanaume sio hb, hauna interest nae au kwasabbu unakua na uhusiano?
How?Katika vitu siwezi basi ni kumshobokea mwanamke.
akijibu nitagHivi kwann mnafanya hv, nikuwa mwanaume sio hb, hauna interest nae au kwasabbu unakua na uhusiano?
Sio lazima upewe, ukiweka hii kichwani haito kusumbuaWakuu habari za jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
Mweeee skutegemea kabisaSikuhiz tunakupea alafu tunakublock
ππππMweeee skutegemea kabisa