Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

Mkuu hauko attractive, mwanaume hanyimwi namba. Zingatia muonekano wako kabla haujasimamisha duu, kingine usiombe namba b4 hujajenga emotional connection, lazima kuwe na kitu kitakachomfanya aendeleze maongezi na wewe kwa njia ya simu. Mwisho zingatia confidence yako ukiwa unafanya vyote hivyo.
 
Mkuu hauko attractive, mwanaume hanyimwi namba. Zingatia muonekano wako kabla haujasimamisha duu, kingine usiombe namba b4 hujajenga emotional connection lazma kuwe na kitu kitakachomfanya aendeleze maongezi na wewe kwa njia ya simu. Mwisho zingatia confidence yako ukiwa unafanya vyote hivyo
Kweli mkuu maana kuna wengine hatujawahi kunyimwa namba hata iweje...

Ila baada ya hapo kuomba vingine ndo tunakutana na changamoto aiseeee
 
Wee mkauzu sana mkuu
Kuna huyo mdada tulikutana Sinza Palestine pale, mimi nimempeleka mdogo wangu hospital na yeye kamleta mdogo wake tulifika muda sawa nikawa nazurura nae kwenye kulipia hiki na kile mara sindano nahisi alijua nitachukua no zake maana niliongea nae mengi lakini sikuhangaika, kama mara mbili nikapanda nae Bajaj akaja akachukua namba yeye akaniambia utakufa na nyeto.
 
Kuna huyo mdada tulikutana Sinza Palestine pale mm nimempeleka mdogo wangu hospital na yy kamleta mdogo wake tulifika mda sawa nikawa nazurura nae Kwenye kulipia hiki na kile mara sindano nahis alijua ntachukua no zake maaana nliongea nae mengi lkn sikuhangaika, kama mara mbili nikapanda nae Bajaj akaja akachukua namba yy akaniambia utakufa na nyeto
😂😂😂😂😂😂😂😂 Hata hivyo ni kweli mkuu utakufa na nyeto...

Wee kaza fuvu hivo hivo
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 Hata hivyo ni kweli mkuu utakufa na nyeto...

Wee kaza fuvu hivo hivo
😁😁😁We waza nyeto tu, mambo ya kukimbilia namba ilikuwa zile kipindi Cha school bash, sijui FEMA huko na Chuoni kidogo baada ya hapo mawasiliano yawe purposive
 
Wakuu habari za jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
Pole ukiongezeka umri utaacha kuomba namba Tena huyo kakuheshimu je aliye kupa namba halafu hapokei ukionana naye ukimuuliza mbona hapokei cm akakwambia ninunulie cm na line halafu ukifanya hivyo asipokee, utarudi humu jf? huo Uzi wako wa ktt
 
😁😁😁We waza nyeto tu, mambo ya kukimbilia namba ilikua zile kipindi Cha school bash, sijui FEMA huko na Chuoni kidogo baada ya hapo mawasiliano yawe purposive
😂😂😂😂😂 Acha zako wewe...
Hata pisi iwe kali vipi wee ubabaiki na namba
 
Kuna ka'ID nimekaona humu kanafanana na ID yangu, ebu ngoja nianze kukafuatilia polepole tuone...😋
 
Mfano iwe club, beach, kwenye usafiri, popote pale, siwezi mshobokea mwanamke hata kama awe mzuri kama cleopatra.. baada ya salaam kama inafaa kumsalimia(mfano nimemkuta kwenye siti ya usafiri baada ya hapo ni buyu, labda anizungumzishe yeye, akinichangamkia basi nami namchangamkia 2 times, ila akipiga buyu mie napiga buyu la millenium.)
 
Wakuu habari za jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.
Mkuu siku hizi mahusiano ni kazi kwa kuwa wanakuwa na wanaume wengi huwa hawashoboki,mimi nina bahati wengi hunipatia ila akishakupa mpaka akupe tunda unakuwa umehenya zaidi ya depo,kwanza vinataka uvitafutege wewe,usipomtafuta hakutafuta,then kulia shida KAWAIDA.😮‍💨😮‍💨😤😤
 
kunyimwa namba sio tatizo, kuna wengine wanasema sina simu kila ukimbembeleza anakuambia sina simu kuna mwingine anakupa namba ukimpigia tu ana block kuna mwingine anakupa namba hapo hapo anakuomba pesa ndefu kuna mwingine anakupa namba mtaongea siku ya kwanza na mtachati vizuri baadae siku mbili zikipita ukituma msg hajibu ukipiga hapokei
Sijui kwann hufanya hv
 
Back
Top Bottom