Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

Ukiomba akakunyima omba mwingine akikunyima na yeye endelea kuomba hadi upate atakaekupa
Huaga wanasema nipe yako nitakutafuta ukimpa kuna mawili utafutwe au usitafutwe, ukiona umetafutwa jua anataka kukulilia shida especially km ukiwa mambo safi
 
Kelele wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzako yupo lockup ya miezi sita bado wewe...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jiandae kupokea wine sis ASAP
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unachekesha, afu bado hujaijua story yangu ndani ya JF.
ishi humo, niko hapa winzaaa winzaa had mwisho wa kupumua kwangu.

Wee huogopiiii??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee unachekesha, afu bado hujaijua story yangu ndani ya JF.
ishi humo, niko hapa winzaaa winzaa had mwisho wa kupumua kwangu.

Wee huogopiiii??
Naijua mwanzo mwanzo mwisho
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hovyo wewe....
Wamekufungia kung'ora au mwenzetu una mtu wako kule juu 😂😂😂😂😂😂😂
 
Wee ni liongoo sana, mxxxxiiiiiieeeew
Hadi vidampaaa wanakukataaa, huoni aibu?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ila wanaume kuna muda huwa mnachekesha sana.
Kumnyima matu namba sio uungwana hata kidogo...
Hivi ukatoa ya uwongo au uka mpa block utapungukiwa nini...

Kuliko kuamfedhehesha mkaka wa watu.
Kaona wangapi huko kaja kwako kuomba namba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤔😂😂😂😂😂😂😂
Mi nakutana na hali hiyo hata sikwepeshi ni hapo hapo unachezea ya nguoni utajua haujui
 
Kumnyima matu namba sio uungwana hata kidogo...
Hivi ukatoa ya uwongo au uka mpa block utapungukiwa nini...

Kuliko kuamfedhehesha mkaka wa watu.
Kaona wangapi huko kaja kwako kuomba namba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nakutana na hali hiyo hata sikwepeshi ni hapo hapo unachezea ya nguoni utajua haujui
Kweli wewe ni poor brain [emoji23][emoji23]
 
Kweli wewe ni poor brain [emoji23][emoji23]
Namba kitu cha kumnyima mtu kweli.
Unaleta kabisa mtafaruku.
Unafurahi mimi wanicheke nipate aibu kisa namba...
Basi nipe ata ya uwongo nikapambane na wahudumu wa mitandao huko 😂😂😂
 
Namba kitu cha kumnyima mtu kweli.
Unaleta kabisa mtafaruku.
Unafurahi mimi wanicheke nipate aibu kisa namba...
Basi nipe ata ya uwongo nikapambane na wahudumu wa mitandao huko [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] kwa nini nitoe namba ya uongo? Kama sijakuelewa sikupi we nitukane tu ila ndio namba sikupi. Huwa tunaangalia nani wa kumpa hatutoi toi tu namba kiholela
 
[emoji23] kwa nini nitoe namba ya uongo? Kama sijakuelewa sikupi we nitukane tu ila ndio namba sikupi. Huwa tunaangalia nani wa kumpa hatutoi toi tu namba kiholela
Basi ni vile ukikutana na mnyonge una mzingua kweli kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Roho mbaya tu
 
Basi ni vile ukikutana na mnyonge una mzingua kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Roho mbaya tu
Roho mbaya tena jamani basi paka rangi iwe nzuri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom