Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

Mara nyingi napenda ku'express vile na feel moyoni, out put kwangu sio tatizo na siwazi, naumia endapo kama sijatoa dukuduku langu la moyo!

Nimenyimwa Sana namba za simu, nimekataliwa Sana, lakini siwazi na sikomi.
 
Duh kitu nashukuru sijawahi paparikia namba ya mdada hata siku moja na sidhani kama ntafanya hvo, hv mfano nasafiri naye labda dar Tanga npo nae seat moja nimuombe no?
Naweza hata nsiongee safari nzima

Katika mambo siwezi ni kushobokea kiumbe kinaitwa mwanamke

Yaani mwanamke mwonyeshe jeuri aisee
 
Katika vitu siwezi basi ni kumshobokea mwanamke.
Hii kitu hata mimi imenishinda. Mpaka mademu wanaona nalinga. Hata nikiingia maeneo yangu ya kumwagilia moyo unakuta demu anakuja karibu kujichezesha mziki, mara azuge kukumbatiana na mshkaji wa pembeni yangu yaani stupidity stuffs kibao hii yote kuvuta attention yangu halafu naendelea mambo yangu kama sijamuona kabisa. Mwanamke ukimnyima attention aanachanganyikiwa na kujirahisisha kwako, kwa sababu ya kupendeza na ukauzu wa kuwanyima attention mademu nakula pisi kali ambazo wengine kuzipata wanalazimika kuingia gharama kubwa sana
 
Naweza hata nsiongee safari nzima

Katika mambo siwezi ni kushobokea kiumbe kinaitwa mwanamke

Yaani mwanamke mwonyeshe jeuri aisee
Ni upuuzi tu, ukute unaenda kuomba namba hujui mdada ana strong bond na mshkaji wake unapigwa miamala mpaka ukome, na hawa viumbe ukishamshobokea ana-upgrade status yake kuanzia usafiri, bando, urembo, nyumba anayoishi na chakula
 
Naijua mwanzo mwanzo mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hovyo wewe....
Wamekufungia kung'ora au mwenzetu una mtu wako kule juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukua na habari? Ba tamu angu wa JF, anapatikana pale mikocheni HQ.
 
Sis momy kajichanganya vipi.... Kwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan unadhani hata mie nikikoroga sinywii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntalinywa km kawaa, sema ameniepusha na mengi.
Akiona kuna vurugu zipo humu ndani, lazima anitonye na anikimbizee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaaan weewe unaponeaga chupu chupu au una danga lako juu kule 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] thubutuuuu, huwezi jua kamweee.
Ntajua tuu nakuona unakuaga unahaha ukishapenda wewe 😂😂😂😂😂😂😂.uwezi gandisha kitu kama hiko utasema tu
 
Yaaan weewe unaponeaga chupu chupu au una danga lako juu kule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nimestaafu heka heka, ukubwa huu sasa.
Nawaachia new comers.
 
Ntajua tuu nakuona unakuaga unahaha ukishapenda wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].uwezi gandisha kitu kama hiko utasema tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km JF ilijua ni kwa yule mmoko baas. Mbona be4 yule kulikua na mtu na hawakujua had leo?

Hii inakua chini ya kapetiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nimestaafu heka heka, ukubwa huu sasa.
Nawaachia new comers.
Kweli umestaafu sa hvi umekua na kasura kaupole kabisa....
Alafu kama nilikua nakuona na tshirt yako ya jf 😂😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km JF ilijua ni kwa yule mmoko baas. Mbona be4 yule kulikua na mtu na hawakujua had leo?

Hii inakua chini ya kapetiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyoooooo... Now kuna mapaparzi kina poor weee jichanganye tuu naona ushaanza 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom