Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

Wakuu habari za Jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
Mengine ni kumshukuru mungu t huwez jua kakurpushia na nn .
Sio kila ukionacho ukipate kuna mungu pia😂😂😂
 
Mkuu hauko attractive, mwanaume hanyimwi namba. Zingatia muonekano wako kabla haujasimamisha duu, kingine usiombe namba b4 hujajenga emotional connection, lazima kuwe na kitu kitakachomfanya aendeleze maongezi na wewe kwa njia ya simu. Mwisho zingatia confidence yako ukiwa unafanya vyote hivyo.
Nimepata kitu hapa
 
Sio namba tu


Mimi chochote kile ninachoamini naweza muomba mtu nikiwa na uhitaji nacho akinipa ni sawa, akininyima pia sina tatizo nae. Mara zote huwa naheshimu sana maamuzi ya mtu
 
Mfano iwe club, beach, kwenye usafiri, popote pale, siwezi mshobokea mwanamke hata kama awe mzuri kama cleopatra.. baada ya salaam kama inafaa kumsalimia(mfano nimemkuta kwenye siti ya usafiri baada ya hapo ni buyu, labda anizungumzishe yeye, akinichangamkia basi nami namchangamkia 2 times, ila akipiga buyu mie napiga buyu la millenium.)
Mkuu we uko km mm ni mikausho mikali... Naweza nikaishi sehemu flani hata miaka kumi sitakaa nipige story na demu ambae hajanichangamkia,.... Ukiona demu napga nae story ujue nina bond nae.
 
Hii kitu hata mimi imenishinda. Mpaka mademu wanaona nalinga. Hata nikiingia maeneo yangu ya kumwagilia moyo unakuta demu anakuja karibu kujichezesha mziki, mara azuge kukumbatiana na mshkaji wa pembeni yangu yaani stupidity stuffs kibao hii yote kuvuta attention yangu halafu naendelea mambo yangu kama sijamuona kabisa. Mwanamke ukimnyima attention aanachanganyikiwa na kujirahisisha kwako, kwa sababu ya kupendeza na ukauzu wa kuwanyima attention mademu nakula pisi kali ambazo wengine kuzipata wanalazimika kuingia gharama kubwa sana
Mwanaume aliezoea kula pisi kali, hana muda wa kuja jf kuanzisha nyuzi za kuponda wadada kila mara Natafuta Ajira
 
Back
Top Bottom