Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzimaðŸ˜ðŸ˜, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao.
Kwa kweli wakati nashangaa mnatoa wapi hela za kununua Iphone 16 (6.8mil) kumbe na mimi nina watu wanashangaa wapi napata 10k ya bando la mwezi😅😅😂😂😂
Kwa kweli wakati nashangaa mnatoa wapi hela za kununua Iphone 16 (6.8mil) kumbe na mimi nina watu wanashangaa wapi napata 10k ya bando la mwezi😅😅😂😂😂