Ila Watanzania tulio wengi tuna maisha magumu sana!

Ila Watanzania tulio wengi tuna maisha magumu sana!

Heeeh jamani, yaani buku 10 yote hiyo bando tu🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
Kuna watu mna helaaaa!!
 
Heeeh jamani, yaani buku 10 yote hiyo bando tu🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
Kuna watu mna helaaaa!!
na msio na hela mnaenda kausha damu mnashenyentwa
Screenshot_20240926-133501.jpg
 
Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao.

Kwa kweli wakati nashangaa mnatoa wapi hela za kununua Iphone 16 (6.8mil) kumbe na mimi nina watu wanashangaa wapi napata 10k ya bando la mwezi😅😅😂😂😂
Bora uunge bando la 10k Mara moja kuliko kununua izo jero jero
 
Wanashindia chips kavu na tomato ya kumwaga...
Hahahaha mbavu zangu. Hawa ndugu zetu tuingilie kati tu maana wanatia huruma viswahili vingi. Tukiwaambia warudi huku hawataki.
Dar ni kwa wenye hela masikini ni mates sana.
 
Kuna mtu nilimuazima kama laki na 30 hivi ,makubaliano yalikua anilipe tangu mwezi July, cha kushangaza kashindwa kulipa hilo deni dogo kiasi hicho,imebidi nisamehe tu sio kwa dana Dana anazonipiga.
 
Back
Top Bottom