Ila Watanzania tulio wengi tuna maisha magumu sana!

Ila Watanzania tulio wengi tuna maisha magumu sana!

Umaskini upo kila pahali, tatizo la wabongo ni baadhi yao kutoelewa kuwa ni maskini wa kutupwa. Unakuta jitu ni fukara ila linatambia maskini wenzie Mfano ni humu JF 🤣🤣🤣
 
Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana... hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao...

Kwa kweli wakati nashangaa mnatoa wapi hela za kununua Iphone 16 (6.8mil) kumbe na mimi nina watu wanashangaa wapi napata 10k ya bando la mwezi😅😅😂😂😂
Matajiri wa JF ni wengi sana sana hahahahaahhaaa
 
Sio kwamba wana shangaa kiasi kikubwa cha pesa unacho weka, hapana wana kushanga ujinga wako umevaa shati ya mtumba ya sh 2000 tu, unaweka vocha ya sh 10,000........huo ni aina ya ujinga.
Mimi nalipia 70k unlimited bundle kila mwezi na ajira yangu ni mitandaoni..naweza had ingiza $1000 kwa mwezi...

Sio kila mtu anatumia mtandao kuburudika...wengi ndo biashara huko
 
Ni priorities tu mkuu, labda wao hawana ishu na hizo bando na hana matumizi nalo.
Kwahiyo anashangaa inakuaje unapoteza pesa ambayo unaweza kufanya mambo ya msingi(kwa maono yao).

Au una maanisha unaishi na masikini sana?
 
Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao.

Kwa kweli wakati nashangaa mnatoa wapi hela za kununua Iphone 16 (6.8mil) kumbe na mimi nina watu wanashangaa wapi napata 10k ya bando la mwezi😅😅😂😂😂
Una maisha magumu huku unaweza kuwa na smartphone na kununuwa data za kuja kubwabwaja na kuhororoja JF?

Ujinga huo.
 
Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao.

Kwa kweli wakati nashangaa mnatoa wapi hela za kununua Iphone 16 (6.8mil) kumbe na mimi nina watu wanashangaa wapi napata 10k ya bando la mwezi😅😅😂😂😂
Wala hujakosea uko sawa.Hii inatokana na sababu zifuatazo
1.Historia yetu ya ujamaa haikutufunza kujitafutis

2.Sheria zetu nyingi ni za kikoloni ,zimetungwa kudhibiti raia badala ya kumuwezesha

3.Tabia ya Watanzania ya kukosa uthubutu (hulka ya Kushindwa kupambana)

4.Kuthamini kuajiriwa badala ya kujiajiri

5.Mipango ya hovyo ya serikali eg watu wako wengi wako Vijijini wanatumia Barabara wewe inajenga km 700 za Sgr Kwa Zaidi ya Trilioni 12,unanunua ndege na upuuzi mwingine kama huo.
 
Bei ya Vifurushi kwa mitandao yote Tanzania imekuwa janga. Sijui kwanini Serikali iliruhusu haya, ilhali wananchi wengi kuafford hivyo vifurushi ni shida. Nikijiuliza Serikali ipo kwaajili ya haya makampuni au wananchi nazidi kupata hasira..
Hangaya hana sehemu nyingine ya kupata hela zaidi ya humo.

Huyu bibi toka awe rais na kumfanya magulu kuwa waziri wa fedha kila kitu kimepanda bei
 
Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao.

Kwa kweli wakati nashangaa mnatoa wapi hela za kununua Iphone 16 (6.8mil) kumbe na mimi nina watu wanashangaa wapi napata 10k ya bando la mwezi😅😅😂
Wengi kula tu ni shida. Mfano watu wa Dar wengi wembamba kwasababu hawana lishe
 
Back
Top Bottom