Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Sio kwamba wana shangaa kiasi kikubwa cha pesa unacho weka, hapana wana kushanga ujinga wako umevaa shati ya mtumba ya sh 2000 tu, unaweka vocha ya sh 10,000........huo ni aina ya ujinga.Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima[emoji24][emoji24]
nimesikitika mno, tena sana... hali ya maisha huku mtaani ni ngumu.
sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao...
kwa kweli wakati nashangaa mnatoa wapi hela za kununua Iphone 16 (6.8mil) kumbe na mimi nina watu wanashangaa wapi napata 10k ya bando la mwezi[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kuna mambo ni personal sana huwezi jua bundle la 10000 linamuingizia kiasi gani ndani ya huo mweziSio kwamba wana shangaa kiasi kikubwa cha pesa unacho weka, hapana wana kushanga ujinga wako umevaa shati ya mtumba ya sh 2000 tu, unaweka vocha ya sh 10,000........huo ni aina ya ujinga.
Mi niliwahi kuona mtu ananunua luku kwa pesa ambayo unaweza kwenda kununua IST showroom
sio shati la 2000 tu mkuu ila toka ninunue hili shati mwaka 2017 pale mabibo sokoni DSM bado linanifaa hadi leo😅😅😅Sio kwamba wana shangaa kiasi kikubwa cha pesa unacho weka, hapana wana kushanga ujinga wako umevaa shati ya mtumba ya sh 2000 tu, unaweka vocha ya sh 10,000........huo ni aina ya ujinga.
Haya yote ya nini sasa?sio shati la 2000 tu mkuu ila toka ninunue hili shati mwaka 2017 pale mabibo sokoni DSM bado linanifaa hadi leo😅😅😅
cha pili hili bando linaniingizia elfu 80 mpaka laki 1 kwa wiki...
View attachment 3107050
Lifetime LukuMi niliwahi kuona mtu ananunua luku kwa pesa ambayo unaweza kwenda kununua IST showroom
IST hata laki 3 unauziwa ni uwezo wako tu wa ku bargainUnatupanga,luku mwisho laki tano kununua...
Bei ya IST ukitumia kununua Luku ukifanya mchezo umeme haumalizi mwezi labda usiwashe frijiLifetime Luku
Friji gani hilo la kula umeme wa 10m+Bei ya IST ukitumia kununua Luku ukifanya mchezo umeme haumalizi mwezi labda usiwashe friji